Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Asantee sanaa ngoja nimuuliziePc ulizopost zinatumia processors za mwaka 2013 isipokuwa hiyo mwisho 2017. Hizo bei ni kubwa sana kwa hizo pc.
Kwa mfano hiyo pc inayotumia pentium speed yake ni 1.1 GHz japo ina turbo boost lakini haifai.
Nunua used i7 kuanzia gen 6 kwenda juu.
Kama una ushauli nipe maana mwenzio ni mgen hukuuKama ni hizo tuu chukua ya kwanza
Ndugu yamgu kati ya hp elitebook ya 840 g3 yenye core i 5, 6 generation na yako hiyo tena ina RAM 8 SSD 256 na hdd 500gb mpyaa na yako ipi kubwa harafu angalia na bei sasa na yako hapo si naongezea 50 naenda pata hp envyUngekuwa na 950k ningekuuzia hii hp elitebook yangu 430 g2 yenye i7 (4th gen) ikiwa na pre-installed software za utayarishaji muziki kama fl studio 20.6, Cubase 10.5 pro, na vst kibao
Hapana siyo kwa ajili ya chuo tuu maana kama chuo tu hata zile min laptop zingnenitosha ila kuna vitu mm napenda ndio mfano game na pia napenda iwe slim na iwe za toleo za miaka hiiKama ni kwajili ya matumizi ya chuo tu hakikisha hauchukui inayozidi laki 6
Andaa zaidi ya milioni 1.6 kama unataka kitu cha iana hiyoHapana siyo kwa ajili ya chuo tuu maana kama chuo tu hata zile min laptop zingnenitosha ila kuna vitu mm napenda ndio mfano game na pia napenda iwe slim na iwe za toleo za miaka hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuh!!! Kwa hpo siwez yaan kwa mil sina mm na hiyo tuuAndaa zaidi ya milioni 1.6 kama unataka kitu cha iana hiyo
SawaNdugu yamgu kati ya hp elitebook ya 840 g3 yenye core i 5, 6 generation na yako hiyo tena ina RAM 8 SSD 256 na hdd 500gb mpyaa na yako ipi kubwa harafu angalia na bei sasa na yako hapo si naongezea 50 naenda pata hp envyView attachment 1371606
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure. Jamaa ndiye mtaalam wa hizo mambo.