Nina laki 8, laptop gani inanifaa?

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Mimi nina bajeti ya laki 8 shida yangu ni kununua laptop. Ila mimi sio mjuzi sana wa laptop inshort ni mgeni maana nipo chuo mwaka wa kwanza sasa katika pita pita zangu nimekutana na laptop hizi hapa. Ipi nzuri kwa matumizi maana mimi napenda pia na game na kuangalia movie. Au kwa hii bajeti ya hela yangu unanishauri nitafute laptop gani maana kama nilivyosema siyo mjuzi na haya mambo asante sana.

Kwa sasa nipo Tanga.

Screenshot_20200227-214637.jpeg
Screenshot_20200227-214529.jpeg
Screenshot_20200227-214459.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pc ulizopost zinatumia processors za mwaka 2013 isipokuwa hiyo mwisho 2017. Hizo bei ni kubwa sana kwa hizo pc.

Kwa mfano hiyo pc inayotumia pentium speed yake ni 1.1 GHz japo ina turbo boost lakini haifai.

Nunua used i7 kuanzia gen 6 kwenda juu.
 
Ungekuwa na 950k ningekuuzia hii hp elitebook yangu 430 g2 yenye i7 (4th gen) ikiwa na pre-installed software za utayarishaji muziki kama fl studio 20.6, Cubase 10.5 pro, na vst kibao
 
Ungekuwa na 950k ningekuuzia hii hp elitebook yangu 430 g2 yenye i7 (4th gen) ikiwa na pre-installed software za utayarishaji muziki kama fl studio 20.6, Cubase 10.5 pro, na vst kibao
Ndugu yamgu kati ya hp elitebook ya 840 g3 yenye core i 5, 6 generation na yako hiyo tena ina RAM 8 SSD 256 na hdd 500gb mpyaa na yako ipi kubwa harafu angalia na bei sasa na yako hapo si naongezea 50 naenda pata hp envy
Screenshot_20200228-161446.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kwajili ya matumizi ya chuo tu hakikisha hauchukui inayozidi laki 6
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom