Nina laki 4 nahitaji taa za gari fasta

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
ni taa za mbele zote mbili, za Nissan extrail ya 2001. kama unazo tuma pm.
 
Tembelea hivyo hivyo jombaa au UBS root nyingi zausiki?
 
aisee jf akuna wezi

Aisee we ni zaidi ya GT! Unatufahamu wote hapa JF!?! Hoja hukueleza kwanini maduka hayajapewa nafasi? Naiamini JF lakini siwezi kumwamini kila member. Ukiletewa usisahau kudai risiti.
 
Aisee we ni zaidi ya GT! Unatufahamu wote hapa JF!?! Hoja hukueleza kwanini maduka hayajapewa nafasi? Naiamini JF lakini siwezi kumwamini kila member. Ukiletewa usisahau kudai risiti.

maduka wauzaji ni watu au sio? na jf members ni watu au sio? by the way hata gari nilinunua humu humu jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…