Nina laki 3 niuzie simu fasta

Status
Not open for further replies.
Nenda dukani mkuu .

Hizi za kununua mikononi mwa watu unaweza ukauziwa simu ya wizi au simu yenye matatizo ya ndani kwa ndani ambayo si rahisi kuyagundua kwa siku za mwanzoni unapotumia hiyo simu.
 
Hutaki tecno haya ipo tecno ya L9+ Bttery yake ina 5500amp na ina finger detector na scaner ,kwa usawa huu usio na simu bora uimgie dukani ukopatie TECNO isiyokuwa na shida HUTAJUTA
 
Mkuu ninakuachia xiaomi redmi note 4 16 ikiwa na sifa zote tajwa hapo juu ila ongeza 50 tu kama utaweza niko lindi kuhusu kukufikia magari ya moja kwa moja lindi Tanga yapo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…