Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

Ashura ni nini ulitaka kutoka kwangu sikukupa, japo sikuwa na kazi ya kueleweka lakini nilipambana kwa ajili yako na mtoto wetu huku nikijipa moyo wanaume tumeumbwa kuteseka, licha ya magumu yote niliamini ipo siku Mungu ataniona.

Ooh, lakini imekuwa tofauti kwangu kumbe hata mtoto uliyesema ni wangu Ashura umenidanganya umezaa na mtu mwingine, bora angekuwa ni mtu wa mbali kumbe ni kaka yangu wa damu na sasa mnapanga mniroge niwe kichaa.

Ashura ahadi zote ulizonipa kumbe ulikuwa ukinilaghai, kumbe mwenzangu kwa kushirikiana na kaka yangu mlipanga kunimaliza na hata kile kidogo nilichokuwa nacho mnataka kukichukua.

Ashura siamini kama ni wewe ndio umekuja kuwa hivi, lakini mimi ndio nilikuwa mpumbavu, walimwengu waliambia kuhusu wewe sasa nitaficha wapi uso wangu mimi!

NI BORA NIFE TU NIKAMPUNZIKE KULIKO KUISHI KWENYE HII DUNIA ILIYOJAA MATESO.

Kwaherini wana JF tutaonana mbinguni kwa Baba.
Jitundike tu man kutupa taulo inaruhusiwa maisha hayana mshindi haya anyway

KATAA NDOA
KIJANA USIOE
 
Miaka 38 unaweka vigezo kibao wkt wenzio Wana miaka 28 tu na wanasemaa aje mwanaume yyt tu ilimradi anapumuaa .
Ww unataka mpk wa PhD Kwan humo ndan ya nyumba hzo PhD zinachukua nafac gan Kwenye upendo mtakaoanzishaa??

Kataa NDOA kijana na ole Wako kijana ukaoa single mama utajutaa mpk kufa kwako ,niliuze mm kuja jamaa kaoa Dem nilizaa naye mm tukaacha kiroho safi Dem akaolewa Kwa harusii hajapita hata miezi cta ya ndoa Dem anaanza nitafuta amemic kuja kumwona mtt maana npo naye mm ,mara nimekumic na ww bac ujinga ujinga nikajitaidi kumpotezea lkn wp,cjui alisahau kufata sms anazochart na mm mume wake kaonaa oooohhh bac jamaa kachukuaa Namba anaanza nipigia mm nikamchana ukwel cna time na mke wake yy ndio ananitafutaga kujua Hali ya mtt km vp mpige stop yy achana na mm kbs maana cmtafutagi mm coz cna shida nayee .

Bac jamaa anaishii Kwa presha uko alipo mpk nahis atakuja niloga kwakweli

Usioe single mother kijana n jangaa
 
Kila mtu ana msimamo wake ndugu yangu.
Haijalishi ukoje bei unahojiwekea ndio utakayouzwa nayo. Kwa hiyo vigezo ni muhimu hata kama Nina miaka 50. Pia Mimi ninahitaji watu wazima... Yani walishaoa wakafiwa au waka toa talaka.
 
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana.

Wewe kama unamchukia MTU/jamii ya watu fulani wachukie tu wewe inatosha kwanini utugawie chuki zako tuwachukie watu bila sababu?

Sisi wengine tunapenda Kila mtu kila Kabila pasi kuangalia mabaya yake kwa sababu kila mtu ana Mazuri/mabaya yake.

Hivi kweli mwanaume unaweza kuandika thread ya kushauri watu wachukie mtu/kabila fulani?

Unataka kuoa sehemu Fulani au MTU Fulani Nenda kaoe basi tuone kama utapata hiyo furaha .OVER
Humu JF hutakiwi kila kitu kuchukulia serious, humu kuna watu wana matatizo tofauti tofauti mfano sonona( depression), wafia dini wapo humu, wakabila wapo, wale kataa ndoa wapo, wale wazee wa kubet wapo humu na uwambii kitu wakali hao na wengine kibao wapo humu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom