Nina Imani na CHDEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina Imani na CHDEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Curriculum Specialist, Jul 9, 2012.

 1. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna watu walidhani kuwa baada ya uchaguzi mkuu 2010, nguvu ya chadema ingeisha na hivyo kuwa chama cha msimu lakini, imekuwa kinyume chake na sasa kinawanyima usingizi CCM na wamekiri hilo wazi! Hivyo imani ya kwa chadema imeongezeka kwa asilimia 200%.
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  kiip it up..m4c forever.....
   
 3. s

  slufay JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Thibitisha! Kwetu bahi na maneramango hawapo kabisa
   
 4. s

  swaswa JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 203
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tupo tunajiandaa kwenda kuchukua Dola 2015
   
 5. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hata kufa nipo tayari sina cha kupoteza zaidi ya nafsi yangu inayopenda mabadiliko
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  nye si mnaishi pluto mtajulia wapi
   
 7. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  TZ2015 M4C isome numba hiyo gari popote nchi hii zinapita ukiiona simamisha ingia chapa mwendo nayo!!achana gari la mabwepande ccm.choo cha makuti
   
 8. a

  andrews JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​huko bahi na mwanelumango kuna mifugo sio binadamu nakushauri uhame huko
   
Loading...