Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Professor Mwesiga Baregu amesema ana Imani kubwa na chama chake katika kuleta uongozi bora nchini.
Professor Baregu aliyezungumza na waandishi nje ya Ukumbi ambao mkutano wa Kamati Kuu ukiwa unaendelea amesema kuna watu ambao wanakesha wakiomba ili Chadema isambaratike lakini akaonya watu wa aina hiyo watasambaratika wenyewe.
Kiongozi huyo ambaye alikuwa mjumbe wa Tume ya Katiba amesema kwa umri wake ameona na kupitia mambo mengi katika siasa na hivyo akasema ana uhakika Chadema itafika mbali katika siasa za Tanzania.
Chadema ndio chama makini na yenye uwezo wa kusimamia maamuzi yake
Hakuna anachojua naye huyu babu chadema itafika mbali wapi zaidi ya arusha na moshi anatia aibu kuongea uongo kama zuzu.
Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Professor Mwesiga Baregu amesema ana Imani kubwa na chama chake katika kuleta uongozi bora nchini.
Professor Baregu aliyezungumza na waandishi nje ya Ukumbi ambao mkutano wa Kamati Kuu ukiwa unaendelea amesema kuna watu ambao wanakesha wakiomba ili Chadema isambaratike lakini akaonya watu wa aina hiyo watasambaratika wenyewe.
Kiongozi huyo ambaye alikuwa mjumbe wa Tume ya Katiba amesema kwa umri wake ameona na kupitia mambo mengi katika siasa na hivyo akasema ana uhakika Chadema itafika mbali katika siasa za Tanzania.
Kenya yaomba msaada wa mahindi toka TanzaniaDu siasa za kibongo bado sana,nimejaribu kufananaisha na majirani zetu,nikagundua kitu tunachokifanya leo Tanzania jirani zetu wa kenya walizifanya tangi miaka ya 90,na ukijaribu kuangalia uhuru hizi nchi zilipata almost kipindi sawa tena sisi tuliwahi kabla yao lakini bado tuko nyuma by far,so i was trying to brainstorm where have we gone wrong!!! kwa kweli jibu sijapata na sioni kama niko karibu na jibu....................
Anyway nilikuwa napita tu
Kenya yaomba msaada wa mahindi toka Tanzania
Baregu ni reject tu. hafai hata kwa kuwashia kuni