MIGUGO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,137 Reaction score 3,952 May 8, 2020 #1 Wakuu nina Idea ya Game lakini sina ujuzi wa kutengeneza nianzie wapi?Je hapa bongo kuna watu wa IT wanaweza kunisaidia?
Wakuu nina Idea ya Game lakini sina ujuzi wa kutengeneza nianzie wapi?Je hapa bongo kuna watu wa IT wanaweza kunisaidia?
Ibrahim augustine JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 428 Reaction score 578 May 8, 2020 #2 MIGUGO said: Wakuu nina Idea ya Game lakini sina ujuzi wa kutengeneza nianzie wapi?Je hapa bongo kuna watu wa IT wanaweza kunisaidia? Click to expand... Bongo specifically tafuta watu wa software engineering na wenye ujuzi kwenye hizi sehemu androidstudio, unitygame engine, kama game lako ni LA android kama ni PC wanaweza kukupa maelekezo naweza kukusaidia kukupatia developer kama hutojali
MIGUGO said: Wakuu nina Idea ya Game lakini sina ujuzi wa kutengeneza nianzie wapi?Je hapa bongo kuna watu wa IT wanaweza kunisaidia? Click to expand... Bongo specifically tafuta watu wa software engineering na wenye ujuzi kwenye hizi sehemu androidstudio, unitygame engine, kama game lako ni LA android kama ni PC wanaweza kukupa maelekezo naweza kukusaidia kukupatia developer kama hutojali
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,007 May 8, 2020 #3 una capital ya kutosha?
mnyagura Member Joined Sep 30, 2017 Posts 70 Reaction score 29 May 17, 2020 #4 MIGUGO said: Wakuu nina Idea ya Game lakini sina ujuzi wa kutengeneza nianzie wapi?Je hapa bongo kuna watu wa IT wanaweza kunisaidia? Click to expand... Njoo na bajet tafanye kaz, ila bujet inavary ktokanana na platform ya game either ni android or pc or VR support
MIGUGO said: Wakuu nina Idea ya Game lakini sina ujuzi wa kutengeneza nianzie wapi?Je hapa bongo kuna watu wa IT wanaweza kunisaidia? Click to expand... Njoo na bajet tafanye kaz, ila bujet inavary ktokanana na platform ya game either ni android or pc or VR support