Hofumoyoni
Member
- Nov 28, 2019
- 71
- 99
- Thread starter
-
- #61
Nakushukru mkuuPole sana bro. Ila haina haja ya kupanic sana haswa ukizingatia kwa sasa unajihisi upo normal ingawa madaktari wanasema unaumwa,Kila siku moja unayoamka ukiwa salama ni muhimu sana kwako na kwa jamii yako Jaribu kuishi maisha uliyonayo sasa,USIKUBALI KESHO YAKO IKUHARIBIE LEO YAKO!
AminaOndoa Hofu na Mawazo Mabaya Akilini wewe ni Mzima wa Afya Kabisa Mungu Ameshakuponya toka zamani amini.
Ashukriwe Mungu kwa kuwezesha uponaji huo.One of my family members was diagnosed with hepatitis B three decades ago, akaambiwa hakuna tiba. Baadae akapata complication ya ini. Alifuata masharti ya dr ya don’ts. My late mother alihangaika na dawa za kienyeji mbalimbali. Ajabu mgonjwa alipona na anadunda vizuri, lakini hajui specifically ni dawa ipi ilimponya kwa sababu alitumia concoction ya kutosha
Asante, huu ndiyo mtihani wangu.Pole mtoa mada
Kila mtu ana mapito yake. Nami haya ndo mapito yangu.Usiwe kama yule jamaa aliye jitaa folk [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] bado tunakuhitaji .Hata king hezekia aliambiwa kua hatopona atakufa.....
Bro Mungu akutangulie ktk mapito haha
Usikate tamaa mpendwa Mungu hajakusahau Yupo pamoja nawe.Asante, huu ndiyo mtihani wangu.
Ni kweli, lakini pia wanasema inategemeana na kiwango cha madhara yaliyokwishatokea. Kama ni kidogo na mashambulizi ya virus yakikoma, ini linao uwezo wa kuclear pale lilipokuwa limeathirika.Pole sana mkuu,wataalamu si wanasema kwamba Ini linatabia ya kujitengeneza upya lenyewe.
AminaUsikate tamaa mpendwa Mungu hajakusahau Yupo pamoja nawe.
AsantePole sana mkuu. Mungu akusimamie
AminaPole sn ndugu yangu. Mungu akupe amani ya moyo
aminaHakuna kinachoshindikana kwa Mungu Hofumoyoni, Mtumaini Yeye! Kwa Imani yako uwe na Moyo Mkuu! Alikujua hata kabla hujazaliwa na anaujua mwisho wako! Mkabidhi maisha yako ishi kadri ya matakwa yake! Mungu ni mwema Atakuponya maradhi yako!
moesy, Nakushukru mkuu.
1. Viral load nimefanya ikasoma negative wakati hbv antibody ni postive.
2. LFT nimefanya ikaonesha linafanya kazi vivuri. japokuwa kulikuwa na baadhi ya maeneo 2 ambayo moja ilikuwa juu kidogo ya kiwango na nyingine ilikuwa chini kidogo.
3. Figo normal
4. CT Scan ya ini ndo sijafanya.
5. Endoscop nilifanya nikashauriwa kufanyiwa band ligation, miezi sita baada ya banding nikarudia wakasema iko normal.