Sasa umeleta humu sisi tufanye nini,ishasema unatafuta hela urudie rangi,unesema wazaz wamekuomba radhi na umesema umeshindwa kumpiga ana umri miaka 5.Sisi tufanyaje bro?Nilikuwa nimeegesha huko nje,Si unajua tena maisha yetu huku uswahilini tumebanana sana .
Nilipotoka nje nikamkuta mtoto wa jirani yangu ameshika msumari anachora bodi la haka kagari kangu ambako nimekanunua kwa shida kweli kweli. Moyo umeniuma.
Nimeshindwa nimfanye nini huyu mtoto maana ni mdogo sana, ana umri kama miaka 5 hivi.
Usawa ni mgumu sana kwa sasa ,inabidi nikomae nitafute pesa ya kurudishia rangi.
Nimewaeleza wazazi wake wameishia kuniomba radhi tu.
I have shared here ,simply because ,some people know how to fix this problem ,be cool brother ,it can happen to you one day.Sasa umeleta humu sisi tufanye nini,ishasema unatafuta hela urudie rangi,unesema wazaz wamekuomba radhi na umesema umeshindwa kumpiga ana umri miaka 5.Sisi tufanyaje bro?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipaki gari uswazi. Na ukipaki weka mtoto mkubwa kuilindaNilikuwa nimeegesha huko nje,Si unajua tena maisha yetu huku uswahilini tumebanana sana .
Nilipotoka nje nikamkuta mtoto wa jirani yangu ameshika msumari anachora bodi la haka kagari kangu ambako nimekanunua kwa shida kweli kweli. Moyo umeniuma.
Nimeshindwa nimfanye nini huyu mtoto maana ni mdogo sana, ana umri kama miaka 5 hivi.
Usawa ni mgumu sana kwa sasa ,inabidi nikomae nitafute pesa ya kurudishia rangi.
Nimewaeleza wazazi wake wameishia kuniomba radhi tu.
Asante Mkuu.Kuna wakati mwingine unacheza na akili ya watoto pia kuwa mkarimu ni jambo zuri
Je hata pipi umewahi kuwanunulia watoto wa jirani?
Kama bado anza
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Na wewe kachore ukuta wao wa nyumba ili muende SAWA!
Childish behaviour is when some one fail feel sorry on others problems.Jf ya sasa ina utoto mwingi sana.
Asante kunielewa
ExactlyThis is childish behaviour ,I have shared here cause some people know how to fix this problem. Why are you angry on me?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe moyo, MUNGU huwa hadhindwiNilikuwa nimeegesha huko nje,Si unajua tena maisha yetu huku uswahilini tumebanana sana .