yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,904
- 3,353
Chakushangaza jamaa unaweza kukuta ni bonge la mlokole hata hayo mambo hayafanyi ila sema bas tu.
Na unaweza kukuta jamaa n mtu mpole hadi ukiambiwa huyu ndo Zero IQ huwezi amin
Na unaweza kukuta jamaa n mtu mpole hadi ukiambiwa huyu ndo Zero IQ huwezi amin
K ingekuwa ni mafuriko, Mr. angebebwa mpaka South