Nina hamu ya kufumaniwa

Nafikiri utakuwa unaumwa. Nenda pale Muhimbili kuna kitengo kinaitwa Psychiatry watatatua tatizo lako. Kila la kheri.
Aaaaaaah mkuu, ina maana ukiwa na hamu ya kitu ndiyo unakuwa referred psychiatric ward mazee? Mbona kawaida tu, nitafutie kichencheda kimoja chenye ujasiri. Akija mke wangu kimdunde aondoke ili nikambembeleze!
 
Mkuu umefikiria outcome moja ya kuwa mkeo atadundwa halafu utaenda kumbembeleza. Umeshafikiria kuwa pengine hujamjua mkeo vizuri, anakufumania halafu anaua hicho kinchecheda chako. Moja kwa moja keko. Utambembeleza nani?
Nyingine ni mkeo anachukia sana baada ya kukufumania na anakula sumu ya panya na huyooo safari. Wewe utambembeleza nani?
Niwie radhi kwa kufikiria mambo mabaya mabaya, lakini yumkini ya kutokea ipo.
 
Hilo nalo neno, lakini hayanihusu am just trying to follow my instincts tonight!!!!
 
There you are comrade! Sasa hauna kipulicheli kimoja chenye ujasiri unirushie namba yake mazee?

Ngoja nikurushie kwa PM..ila mkuu kikiwa mbali itakuwaje,uko tayari kufunga safari?
 
Hivi wewe huko kichwani pako sawa kweli? Mie nahisi ubongo wako umeshaanza kucheza maana hayo mawazo yako sio ya kawaida aisee.
 
Hivi wewe huko kichwani pako sawa kweli? Mie nahisi ubongo wako umeshaanza kucheza maana hayo mawazo yako sio ya kawaida aisee.

Tatizo you are so young to understand but when you get old as the days goes, utakuwa MASTER kamili full kutokimbia songombingo! Nitupie namba basi hata ya barmaid! Poa tu!
 
Tatizo you are so young to understand but when you get old as the days goes, utakuwa MASTER kamili full kutokimbia songombingo! Nitupie namba basi hata ya barmaid! Poa tu!

Ha ha haaaaa!!! Mpigie huyu 07104442312
 
Ushafumaniwa? Au mmbado? If yes,ilikuwaje?
 
Ngoja nikurushie kwa PM..ila mkuu kikiwa mbali itakuwaje,uko tayari kufunga safari?

Nitaenda au namrusha na MPESA fasta aje maeneo! Fanya basi mbona PM haiji?
 
Hiyo no nimeipiga ocd Manyara! Kapokea , unataka kumtia mkengeni ?
Aisey .

Ha ha ha ha! Umeona Judgement? Mie mwenyewe niliistukia wasije wakanimwangosi bure! Au akanipa mwanae then anipe suprise ya fumanizi.
 
Ushafumaniwa? Au mmbado? If yes,ilikuwaje?

We unadhani kwa nini toka jana sijaonekana humu? Ngoja nibembeleze mama maana kahama chumba analala chumba cha wageni ila unyumba ameshanipa pamoja ni kwa shingo upande ila anausikilizia utamu wake. Hawezi kuukimbia kirahisi hivyo ila na kale katoto alikotukuta nae ni kafundi kaka! Kwa kweli lazima nikazawadie safari ya wiki nzima akae Nungwi nikale mema ya binadamu!
 
Muulize Mtambuzi au baba Cantalisia yeye ndo anajua tamu ya kufumaniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…