Hallelujah YESU Kristo ni Mungu, ndani ya dakika chache umemkiri YESU kwa kulisoma neno lake.
Hapo ndipo mnapo shindwa akili na wakristo
SHETANI ANAWAPURIZA WAISLAM MATAKONI MSIKITINI.Wewe hutaki kulifuata neno lake unalifuata neno la mchungaji wako , hapo ndiyo unapomsaliti Yesu
Yesu anasemaje katika Injili
Yohana 17:3 imeandikwa hivi –
…uzima wa milele ndiyo huu wakujue Mungu wa pekee na Yesu uliyemtuma.
Katika Aya hii Yesu anasema kwamba ili kupata uzima lazima tumjue kwanza Mungu wa pekee na umjue Yesu Kristo aliyetumwa na Mungu, hapa Yesu hasemi lolote kuhusu yeye kuwa nafasi ya pili ya Mungu ila anakiri wazi yeye ametumwa na Mungu mmoja wa pekee.
Luka 2:40 imeandikwa hivi: -
Yule mtoto akakua akaongezeka nguvu amejaa hekima na neema ya Mungu ilikua juu yake.
Katika Aya hii tunaambiwa kwamba Yesu alijaa hekima na neema ya Mungu. Tahadhari ufikirie vizuri kwa makini sababu hapa inayonyesha kwamba bila ya Mungu kumpa neema Yesu asingelikuwa na hekima hii inaonyesha wazi Yesu ni kiumbe aliyeteuliwa na Mungu na hii ni kawaida yake Mwenyezi Mungu kwa Mitume na Manabii wake kuwapa neema na hekima.
Yohana 13:13 imeandikwa hivi: - Nanyi mwaniita Mwalimu na Bwana nanyi mwasema vema maana ndivyo nilivyo. Maneno hayo yatueleza wazi kwamba alikuwa anajua wazi kwamba yeye ni Mwalimu na Bwana ndiyo maana anawasifu wanafunzi wake, NANYI MWASEMA VEMA.
SHETANI ANAWAPURIZA WAISLAM MATAKONI MSIKITINI.
***
Kasema Mtume (s. A. W) Anamwingia Mmoja Wenu Shetani Katika Sala. Basi Anampuliza Katika Matako Yake. Basi Yule Mtu Inamwingia Fikra Kua Umemtoka Upepo. Nae Haukumtoka. Basi Akiona Hali Hiyo Asiondoke Kwenye Sala Mpaka Asikie Umemtoka Huo Upepo.
(KITABU CHA MKWELI MWAMIU JUZUU YA 1- -2. HADITHI NA 74. UK 42
***
Poleni Sana Ndugu Zanguni Waislam,, Shetani Anawapuliza Matakoni Kwa Raha Zake,
SHETANI ANAWAPURIZA WAISLAM MATAKONI MSIKITINI.
***
Kasema Mtume (s. A. W) Anamwingia Mmoja Wenu Shetani Katika Sala. Basi Anampuliza Katika Matako Yake. Basi Yule Mtu Inamwingia Fikra Kua Umemtoka Upepo. Nae Haukumtoka. Basi Akiona Hali Hiyo Asiondoke Kwenye Sala Mpaka Asikie Umemtoka Huo Upepo.
(KITABU CHA MKWELI MWAMIU JUZUU YA 1- -2. HADITHI NA 74. UK 42
***
Poleni Sana Ndugu Zanguni Waislam,, Shetani Anawapuliza Matakoni Kwa Raha Zake,
Je, Shetani aliingiaje ndani ya Yuda?"Ndipo Shetani akamwingia Yuda..."
Biblia inasema Shetani anaweza kutia mawazo moyoni mwa mtu."Ibilisi alikuwa amekwisha kuingia moyoni mwa Yuda..."
Hapa pia Shetani anaathiri fikra za mtu."Anania, mbona Shetani ameujaza moyo wako?"
Biblia inafundisha kwamba Shetani huwadanganya watu kwa wasiwasi na hila."Ninaogopa, kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa..."
Hallelujah YESU Kristo ni Mungu, ndani ya dakika chache umemkiri YESU kwa kulisoma neno lake.
Hapo ndipo mnapo shindwa akili na wakristo
"Baba ni mkuu kuliko mimi." (Yohana 14:28)
"Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma." (Yohana 17:3)
"Mimi napaa kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu." (Yohana 20:17)
"Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, mwanadamu Kristo Yesu." (1 Timotheo 2:5)
"Yesu wa Nazareti, mtu aliyethibitishwa kwenu na Mungu kwa miujiza..." (Matendo 2:22)
Yesu bado anasema "Mungu wangu" mara kadhaa."Yeye ashindaye nitamfanya nguzo katika hekalu la Mungu wangu..." (Ufunuo 3:12)
Changamoto za hapa duniani zinatatuliwa duniani kupitia binadamu.Yesu nakuhitaji vivyo kila saa niwezeshe mwokozi nakuujia .??
Nimekosa nguvu kila saa matatizo.
Hayaishii huwezi ukasema nipo sawz sasa ukafurahi unaletewa jingine hadi mtu anachoka eti
Yesu nakuhitaji vivyo kila saa niwezeshe mwokozi nakuujia .??
Nimekosa nguvu kila saa matatizo.
Hayaishii huwezi ukasema nipo sawz sasa ukafurahi unaletewa jingine hadi mtu anachoka eti
Hakusema hamtakuwa na matatizo, bali mtakuwa nayo."Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu." (Yohana 16:33)
Na tena:"Maana sisi twajua ya kuwa viumbe vyote pia vinaugua pamoja navyo vina utungu pamoja hata sasa." (Warumi 8:22)
Hata mtume Paulo alikiri kuwa alifikia hatua ya kulemewa na matatizo."Tulilemewa mno kupita kiasi cha nguvu zetu." (2 Wakorintho 1:8)
"Watu wote wanaotaka kuishi maisha ya utauwa katika Kristo Yesu wataudhiwa." (2 Timotheo 3:12)
Kuna ugumu gani kwa Mungu kujibadilisha na kuchambwa? Mbona nyie mungu wenu kawaumba wayahudi na bado anawaogopa?
"Mungu si mtu, aseme uongo; wala si mwanadamu, ajute." (Hesabu 23:19)
"Kwa maana mimi, BWANA, sina kigeugeu." (Malaki 3:6)
"Mimi ni Mungu wala si mwanadamu." (Hosea 11:9)
Na:"Mungu ni mkuu kuliko wote." (1 Yohana 4:4)
"Mimi ni Mungu, wala hapana mwingine." (Isaya 46:9)