Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,955
Sante mwayaHongera mwaya
ukijua kucheza na akili ya mwanamke huta pata tabu kabisa.Sante mwaya
Hahaha tuacheni lolz...sante piaukijua kucheza na akili ya mwanamke huta pata tabu kabisa.
anakwazika kwa jambo dogo na kufurahishwa na kitu kidogo zaidi.
hongera mamaa
mh mimi nina la kusema basi!?Hahaha tuacheni lolz...sante pia
Nikiwa Gold member...[emoji5]Hakuna atakaye kuchamba zaidi watakupongeza nikaanza na mie mwenyewe HONGERA SANA, sasa vipi shughuli wapi ya kujipongeza?π
No Kune simu i dont log out ila nikitumia pc ndo inakua hivoHongera,kwan huwa una logout kila siku?
kHabari JF....jamani leo am soooo darn happy...hehe nimefurahi sanaaa nilipo log in nkajikuta nimekua jf expert member[emoji39] ...and i was thinking of that just few days ago...nlkua nimechoka kua senior member...[emoji41] [emoji41] [emoji41] nami nimekua expert sasa...hehe...
NB: najua kuna wataonichamba[emoji125][emoji125]
Anha asante kwa kuniambia....kwahiyo nisipokua online mda mrefu ntashushwa cheo????[emoji22]Hongera kwa kupata promotion na kuwa JFEM. Cheo hiki kina wajibu mkubwa sana 24/7. Hivyo hakikisha unatimiza wajibu wako mkubwa baada ya kupewa hiyo promotion. πππ
k
Hehe sante...Hongera mamy,
Naomba nikuandalie ka party kdg ujipongeze vizuri zaidi
Anha asante kwa kuniambia....kwahiyo nisipokua online mda mrefu ntashushwa cheo????[emoji22]
It won't happen this soon...i do stay online 24/7.... Labda mbeleni hukoYes there is a possibility unless you've special permission from JFEM's Board of Directorsπ
It won't happen this soon...i do stay online 24/7.... Labda mbeleni huko
Thank you!...Good, enjoy your promotion. Have a great weekend.