Nina furaha moyoni

hivi wewe ulishawahi kuchat na mtu kupitia sms alafu unayoandika na kujibiwa mtu mwingine akiwa anaona live!
 
hivi wewe ulishawahi kuchat na mtu kupitia sms alafu unayoandika na kujibiwa mtu mwingine akiwa anaona live!

Ni kwamba yawezekana hiyo simu yeye ni second user, alizikuta sms kama wewe ulivyozikuta. Au pengine simu hiyo imekuwa ikitumiwa na mtu mwingine kwa kuwasiliana na mpenzi wake. Cha msingi mpe nafasi ajieleza. Dhamira yako inaonyesha huyo demu umemchoka na umekuwa ukitafuta sababu ya kummwaga ilipotokea hiyo ndiyo maana unafuraha sana.
 
Hahaha asante China kwa kutufanya tuyajue yanayoendelea dunia ya kwanza. Hata michepuka inanyakwa saiv
 

Lubebenamawe nilimnunulia Mimi.
 
Last edited by a moderator:

Mwanamalundi unashusha heshima ya ukongwe wako hapa jf na make nimetafuta kwenye rules za jf sijaona sehemu iliyo andikwa kwamba ukiwa na jambo la kuandika humu jukwaani lazma limpendeze Mwanamalundi
 
Last edited by a moderator:
Furaha yako ya kuhisi, kuchunguza, kubaini hitilafu na kupiga chin haitaisha milele kama hujaoa. Mpnz wako ni demu wako na wenzako.

Anakuwa karibu na wote coz hamjui wa ukweli ni yupi. Ukitaka atulie..nenda kampose. Maana yake kwao wakutambue na kwenu wamtambue she wako.
 

kweli mkuu.
 

Du Kwakweli mimi nina ubongo mzito sana kuelewa. alikuachia simu yake na lain ndani au?
Akasahau kutoa pasiwedi, je ulikuwa unaijua mwanzo?
 

idadi ya vimeo ipo ngapi my dear
 
Hahahaaaa babuweee kwa taarifa yako ushaachwa siku nyiingiii na umepewa hiyo simu ujimalize mwenyewe na chagua kumeza au kutema inakuhusu wewe! Note 3 iyoooooo imepepea na wewe umepeperushwa..

Yaani badala ya kumfarji ndo unakomezea na msumari wa moto!
 

Mi babu niliyesoma miaka hiyo nashindwa kupata uhusiano wa yeye kutotoa password yake na wewe kupata mawasiliano....

Can someone help puliiiiiz??
 

Akili za kike hizo jombaa! Au ndo umeamua kuthibitisha kuwa asilimia kubwa ya males wa humu ni chenga!!?
 
Du Kwakweli mimi nina ubongo mzito sana kuelewa. alikuachia simu yake na lain ndani au?
Akasahau kutoa pasiwedi, je ulikuwa unaijua mwanzo?
account ya gmail ukitoa Sim card tu bila kubadilisha account ya gmail ukimpa mtu hiyo simu ataendela kupata baadhi ya sms zako hususan e-mail zote atapokea Facebook messages zote atapata, viber, na baadhi ya social media.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…