Nina furaha moyoni

hiyo namwachia na hii yakwake nampa.
Na mzigo akagawe pia
ww jasiri unagongewa papuchi bado unamtajirisha unafikiri Kimburu atarudi nyuma
hapo kanyanyuka na gia ya simu kubwa hatakosa biashara
 
Vijana wa siku hizi siyo wavumilivu kabisa katika mapenzi.utaacha wangapi sasa?
 
Na ile note3 vipi? Inabidi uichukue kiongozi!
 
Hahahaaaa....nimechekaa hadi basi, ulikuwa unatafuta sababu tuu au sio? Hiyo furaha yake kama umeangushwa kwenye penalty box.....!
 
kwa tukio kama hilo mambo yanaweza kuwa vilevile tu
 
Nafikiri ulikuwa umeshamchoka tayari ulikuwa unatafuta sababu na sasa umeipata ndiyo mana una furaha. Kama ungelikuwa unampenda usingelikuwa na furaha kiasi hicho. Lakini ndio mapenzi ya siku hizi ni kutafutiana sababu za kupigana chini. Nakushauri ungempa muda ajieleze pengine labda simu hiyo imewahi kutumiwa na mdogo wake au rafiki yake au mtu mwingine kabla au akiwa anaimiliki kwa kuazimwa.
 
CC.. Pakaywatek
 
Hahahaaaa babuweee kwa taarifa yako ushaachwa siku nyiingiii na umepewa hiyo simu ujimalize mwenyewe na chagua kumeza au kutema inakuhusu wewe! Note 3 iyoooooo imepepea na wewe umepeperushwa..
 
kumbe ulidhani ni wa kwako pekeako eeh, karne hii? Hapa africa kwetu? hahahaa pole mkuu. mapenzi ya siku hizi ni full 'upatu'
 
Hahahaaaa babuweee kwa taarifa yako ushaachwa siku nyiingiii na umepewa hiyo simu ujimalize mwenyewe na chagua kumeza au kutema inakuhusu wewe! Note 3 iyoooooo imepepea na wewe umepeperushwa..

mmh, ndo wewe umechukua note3 ya jamaa eeh. hehehe
 
Upuuzi mtupu. Sasa hapa ndio umeanzisha topiki gani? haya mambo ya ki.pu.m.ba.vu peleka kule face book kwa marafiki zako. Tumechoka kusoma mada za kitoto. Umejiunga juzi tu hapa JF, halafu unaanza kuandika uharo. Koma kabisa. Usituchafulie jukwaa letu tukufu. Umeniudhi sana.
 
kwa tukio kama hilo mambo yanaweza kuwa vilevile tu

ah wapi labda useme za mwizi zimefika.....hiyo simu ya vimeo pia njia kuu anakuwa haijui....na siku unaenda kukutana na njia kuu hiyo simu unaiacha nyumbani......hautembei nayo na ikitokea umetembea nayo siku hiyo....basi unazima......
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…