pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Na simu unaichukua au unamwachia ukumbusho?
hiyo namwachia na hii yakwake nampa.
haaaa....kabla ya yote chukua simu yako kwanza....afu ndiyo umpige chini....
hivi unajua una vimeo afu unamchanganya kimeo na njiaa kuu kwenye simu moja......ndiyo maana wengine wana simu mbili moja ya vimeo ....moja na ya njia kuu....hii line ya njia kuu hakuna kimeo hata mmoja anayejua......
Chukua zote bhana siatanunuliwa na hao jamaa zake.
Tumsifu yesu kristu sister.
Umenichekesha sanaa.
Nina mpz wangu nilishahisi anansaliti Jana tulikutana nikiwa na ka note3 mpya si akai mind akang'ang'ania nimpe nikamwambia kwa kuwa sina sim nyingine aniachie nikishanunua ndo achukue hii.
akagoma lazma nimwachie akanambia nichukue ya kwake kwa mda. nami kwa mapenzi yangu kwake nkampa akujua nilikuwa naitafta hiyo simu yake kwa mda mrefu niimiliki.
namimi sikupoteza mda nikaanza kutoa laini zangu na yeye akaanza kufuta sms nikamwambia toa lain akasema subiri kuna notes humu ngoja nifute akafuta.
aka uninstall baadhi ya app kimoyomoyo nilikua naomba asitoe password kweli akasahau kwa sababu nilimtinga sana.
nimezi install saivi nakula uhondo sms zake nazipata Nina furaha kwa sababu leo naenda kumpiga chini.
kama una mpango wa kumwachia hiyo note 3 niagize mimi nikampokonye
heshima tafadhali""
ungefurahia kwenda mpiga chini, ungekuja kujilizaliza humu!?
Kwanza nikisoma uziwako naona uliandika huku mapigo ya moyo yakipwita kwa hangaiko la moyo.
Ivi mnafungua shule lini?
Walau tupumue na .com