Nina eneo nataka kuweka maonyesho ya saba saba

Nina eneo nataka kuweka maonyesho ya saba saba

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,976
Reaction score
3,738
Wakuu maonyesho ya saba saba yamekuwa yanafanyika Dar Es Salaam tu. Sasa huku nina kama ekari mbili. Nataka niweke maonyesho ya saba saba. Nipangishe wafanyabiashara waweke matenti. Naruhusiwa? Utaratibu uko namna gani?
 
Kwamba na wewe una Serikali yako sasa ndani ha JMT?
Usijichetue watu wamalize 'awamu' na wewe.
Mbona sherehe za mei mosi watu wanafanya makazini mwao bila shida. Na hii saba saba huku watu wanavaa na kwenda kutembea. Kutakuwa na ubaya gani nikiweka maonyesho?
 
Back
Top Bottom