Kson Investment
JF-Expert Member
- Sep 6, 2024
- 327
- 430
- Thread starter
-
- #221
Tatizo Nisha confirmUn
Unaweza. Ila kama nia yako ni kuhama chuo kwanini usikiombe hicho chuo kwa sasa? Apply tena
Tanzania ukisoma physics, Chemistry, Biology, mathematics isiyokua na Education ndani yake unakua huna tofauti na mwanafunzi wa stream ya sayansi( Form Four A) wa pale Mbeya day
Sio kweli bhn mbn wa kiume wapo wengiNdioo
Kwanini ubadili Dogo, Chagua hiyo nursing sio mbaya. Kuna physiotherapy na medical laboratory pia,Vipi kuhusu hiyo nursing nawezs kubadili bila shida
EeE Chemistry Nina cKwanini ubadili Dogo, Chagua hiyo nursing sio mbaya. Kuna physiotherapy na medical laboratory pia,
Note: Kama una C ya chemistry kwenye hiyo dvsn, maisha yako yatakuwa mepesi.
Haya ajichanganye na maisha haya asomee account maana hesabu inapanda ni rahisi kupata kaziSio kweli bhn mbn wa kiume wapo wengi
AhsanteHaya ajichanganye na maisha haya asomee account maana hesabu inapanda ni rahisi kupata kazi
Kasome SUA uzame kwenye kilimo na ufugaji utanishukuru baadaeNimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.
Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.
Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Utampa mtajiKasome SUA uzame kwenye kilimo na ufugaji utanishukuru baadae
Diploma awapi brother!Mzee kasome hata Diploma ya Clinical Officer Baadae usome Degree ya Udaktari
Usiposikiliza ushauri huu tukutane 2026 mtaani
Nakuunga mkono hata asipo ajiriwa hawez kosa shamba la kulima kikubwa awe na kichwa cha maana mana SUA sio mchezoKasome SUA uzame kwenye kilimo na ufugaji utanishukuru baadae
💁Nakuunga mkono hata asipo ajiriwa hawez kosa shamba la kulima kikubwa awe na kichwa cha maana mana SUA sio mchezo
NImewaza kwenda Kampala nikabadili koz mkuu vipi unaweza sema?Ukisoma hiyo kasome master ya medical physics, hapo utakuwa sokoni. Ila ukiishia na bsc of physics nitakupa pole kubwa
Duh unataka kwenda mpk ugandaNImewaza kwenda Kampala nikabadili koz mkuu vipi unaweza sema?
Amna si kipo dar gongo la MbotoDuh unataka kwenda mpk uganda