Nina Diploma ya Takwimu natafuta kazi

Kuajiriwa ndio shida ila kazi zipo nyingi Sana. Jana ijumaa kina dogo nilikuwa napiga naye stori k/Koo ni mmoja wa wale wanaosaidia wenye magari kupata parking kkoo.

Huwa wanalipwa elfu1 kwa kila gari wanayoionesha parking. Nilipiga story na dogo akanambia "bro sikufichi hapa mimi nimekosa Sana kwa siku ni elfu 15, Hapo nimeshakula na kutenga nauli. Siku ishu ikicheka napiga mpaka 40"

Nilichogundua mjini ukijiongeza huwezi kukuta mtu analalamika maisha magumu. Imagine Hawa madogo kazi yao ni kukuonesha tu eneo la kupaki unamtoa buku yaje, mengine ya parking charges utamalizana na mawakala wa city.

Maisha rahisi kama kunywa uji. Samahani nimetoka nje ya mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka agiza peps mkubwa wao nakuja kulipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuhakikishie tu kuwa hakuna wa kukupatia kazi humu maana awamu hii hata wenye kazi wanaishi kama majobless
 
Kuajiriwa ndio shida ila kazi zipo nyingi Sana. Jana ijumaa kina dogo nilikuwa napiga naye stori k/Koo ni mmoja wa wale wanaosaidia wenye magari kupata parking kkoo.

Huwa wanalipwa elfu1 kwa kila gari wanayoionesha parking. Nilipiga story na dogo akanambia "bro sikufichi hapa mimi nimekosa Sana kwa siku ni elfu 15, Hapo nimeshakula na kutenga nauli. Siku ishu ikicheka napiga mpaka 40"

Nilichogundua mjini ukijiongeza huwezi kukuta mtu analalamika maisha magumu. Imagine Hawa madogo kazi yao ni kukuonesha tu eneo la kupaki unamtoa buku yaje, mengine ya parking charges utamalizana na mawakala wa city.

Maisha rahisi kama kunywa uji. Samahani nimetoka nje ya mada

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi kihivyo,
Ila kwa kuongea ni rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fani nzuri bro hiyo kwanza diploma ya takwimu ulisomea wapi pia nitafute nikupe fursa jinsi gani ya kupambana piga namba 0657709912
 
Vijana wanachagua kazi sana,kazi wanataka ukiwapa kazi wanakimbia mbio za ajabu

wanataka kazi umkabidhi ofisi akae ale upepo wa mzungu huku anasubiri wateja "shenzi type"

nawahakikishia maisha yatazidi kuwa magumu sana kwa wote mnaotaka official Jobs.
 
naomba hata hiyo ambayo si ya kukaa ofisini ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajukwaa, natafuta kazi nina Diploma ya Takwimu, nina ujuzi wa computer, pia naweza kufanya kazi kama secretary, receptionist hata cashier.

Msaada wenu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunahitaji wafanyakazi wawili (wa kike) i wenye uzoefu na staionary.computer na pia kufundisha au kuelekeza wanafunzi kutumia computer.Pia awe na uwezao wa kusimamaiaw wengine ofisini wasiliana nasi -0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom