Nina diploma ya fisheries science and technology

Nina diploma ya fisheries science and technology

Mr Honolulu

Member
Joined
Dec 26, 2016
Posts
12
Reaction score
2
Natafuta kazi Yoyote ambayo ipo related na hiyo Kozi yangu naweza kutoa ushauri jinsi ya ufugaji wa samaki na pia hata jinsi ya kuandaa Bwawa la Samaki nipo Vizuri.

Pia nipo vizuri katika masuala ya Computer Application kama vile Word, Excel, Power Point na Window Installation. Napatikana kupia 0688235671.
 
Natafuta kazi Yoyote ambayo ipo related na hiyo Kozi yangu naweza kutoa ushauri jinsi ya ufugaji wa samaki na pia hata jinsi ya kuandaa Bwawa la Samaki nipo Vizuri. Pia nipo vizuri katika masuala ya Computer Application kama vile Word, Excel, Power Point na Window Installation..... Napatikana kupia 0688235671...
Kama unaeza kutoa ushauri kwanini usifanye wewe mwenyewe sasa?
 
Unajua kutumia vlookup au Query Kwenye Excel?
 
MH! Kozi zingine Africa ni mithani, ukipata channel kimbilia ulaya au tafuta mtaji
 
Natafuta kazi Yoyote ambayo ipo related na hiyo Kozi yangu naweza kutoa ushauri jinsi ya ufugaji wa samaki na pia hata jinsi ya kuandaa Bwawa la Samaki nipo Vizuri.

Pia nipo vizuri katika masuala ya Computer Application kama vile Word, Excel, Power Point na Window Installation. Napatikana kupia 0688235671.
Unafahamu juu ya ufugaji wa samaki kwenye ma-tank, yaani Recirculating Aquaculture System na nyingine inaitwa Aquaponics?
 
Unafahamu juu ya ufugaji wa samaki kwenye ma-tank, yaani Recirculating Aquaculture System na nyingine inaitwa Aquaponics?
Hiyo RAS nimaijua lakini ni Theoretically sina experience nayo sijawahi ifanyia kazi hiyo system...
 
Back
Top Bottom