Majesty S P
Member
- Sep 24, 2020
- 62
- 88
Habari wakuu,
Poleni na majukumu ya wiki nzima.Naamini mna weekend njema.
Naombeni mnisaidie Ajira ndugu zangu nina Diploma ya Electrical Engineering tangu 2015 kiufupi ni ELECTRICALTECHNICIAN. Uzoefu miaka 5+ nilijiajiri muda mrefu ila mambo yameenda mrama tangu mwezi wa 3 kipindi cha Corona sina riziki kwa sasa nipo tayari kufanya kampuni lolote Hapa nchini kwa kuajiliwa au Kujitolea ili niweze kuendeleza ujuzi wangu.
NB:
Naombeni muisambaze hii picha kwenye magroup mengine Tanzania ilinnisaidiwe.

Contacts : +255 (0) 657 932404.