Nina Diploma in Pharmacy, natafuta kazi

musa abel jr

Member
Oct 12, 2016
39
57
Habari za muda huu ndugu zang wa JamiiForums mimi ni kijana wa kiume nina umri 23 nina Diploma in Pharmacy (Pharmaceutical Technician) but bado sijapata leseni nategemea kufanya mtihan mwez wa kumi naishi shinyanga naomba mwenye kuweza kunipa connection au kuniajiri katika Pharmacy ya jumla au rejareja nitashukuru au hata Duka la dawa muhimu nitashukuru.

Naomba kuwasilisha

0622567654 au 0718927103
 
MKUU,
UKISHAPATA LESENI KILA KITU KITAKUWA POA.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Habari za muda huu ndugu zang wa JamiiForums mimi ni kijana wa kiume nina umri 23 nina Diploma in Pharmacy (Pharmaceutical Technician) but bado sijapata leseni nategemea kufanya mtihan mwez wa kumi naishi shinyanga naomba mwenye kuweza kunipa connection au kuniajiri katika Pharmacy ya jumla au rejareja nitashukuru au hata Duka la dawa muhimu nitashukuru.

Naomba kuwasilisha

0622567654 au 0718927103
Huruhusiwi kupractice without being licensed. Kuwa mvumilivu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom