Mpe mchanganuo mfano kwa editing nitahitaji imac pro inauzwa bei flani camera nitahitaji Canon EOS inauzwa bei hii na ofisi pango ni kiasi flani na tutafanya hivi kuingiza faida ukijibu hivyo kwa ufupi unaweza poteza muwekezaji kuna watu wana mitaji lakini hawajui wawekezeje na wapiSio chini ya milioni 20 hapo atleast unapata vitu vitu vya kisasa
Sawa boss, ngoja niandae list na hapo itabidi niingie dukani kuulizia baadhi ya vituMpe mchanganuo mfano kwa editing nitahitaji imac pro inauzwa bei flani camera nitahitaji Canon EOS inauzwa bei hii na ofisi pango ni kiasi flani na tutafanya hivi kuingiza faida ukijibu hivyo kwa ufupi unaweza poteza muwekezaji kuna watu wana mitaji lakini hawajui wawekezeje na wapi
Upo mwanza mkuu? Unapiga hizi mambo za mtoa mada?Ungekua mwanza tungefanya jambo letu
Inaonekana wewe ni mgeni kwenye hii industry. nimekua kwenye mambo haya since 2015. si lazima uwe na vifaa vyote, muhimu ni Pc nzuri na sehemu yakuzugia ama Ofisi(kama umejaaliwa) vingine vyote unaweza kukodi project hadi project.Sawa boss, ngoja niandae list na hapo itabidi niingie dukani kuulizia baadhi ya vitu
Naheshimu ulchosema, mm n mgeni wa industry lakin uwezo ninao, em fikiria mtu anakuja kwako kwa ajili ya kazi halafu unamwambia subiri nikakope vifaa hapo c atakuona Hauko serious.Inaonekana wewe ni mgeni kwenye hii industry. nimekua kwenye mambo haya since 2015. si lazima uwe na vifaa vyote, muhimu ni Pc nzuri na sehemu yakuzugia ama Ofisi(kama umejaaliwa) vingine vyote unaweza kukodi project hadi project.
Produce sasaHabari zenu wakuu
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25 naishi Dar es Salaam.
Nimemaliza chuo mwaka 2020 katika fani ya diploma in film production, hivyo naweza kutumika kama cameraman, video editor, script writer, director na mambo yote yanayohusiana na filamu, sherehe tofauti tofauti au kwenye televisheni.
Mfano kazi ya harusi, send off , kitchen part zinakuja ghafla tu mkuu??si wanafanya booking kabla ?? Mfano mtu ana ku book event mwezi ujao tarehe 14 , na wewe si unaenda kwa wale wanaokodisha vifaa unawaambia una sherehe tarehe 14, simple tu, mwenye sherehe kakupa advance na wewe kule unakokodi vifaa unawalipa advance, super easy tu. Tunafanya hivo wenzio miaka kwa miaka mkuuNaheshimu ulchosema, mm n mgeni wa industry lakin uwezo ninao, em fikiria mtu anakuja kwako kwa ajili ya kazi halafu unamwambia subiri nikakope vifaa hapo c atakuona Hauko serious.
๐Mfano kazi ya harusi, send off , kitchen part zinakuja ghafla tu mkuu??si wanafanya booking kabla ?? Mfano mtu ana ku book event mwezi ujao tarehe 14 , na wewe si unaenda kwa wale wanaokodisha vifaa unawaambia una sherehe tarehe 14, simple tu, mwenye sherehe kakupa advance na wewe kule unakokodi vifaa unawalipa advance, super easy tu. Tunafanya hivo wenzio miaka kwa miaka mkuu
๐๐พMfano kazi ya harusi, send off , kitchen part zinakuja ghafla tu mkuu??si wanafanya booking kabla ?? Mfano mtu ana ku book event mwezi ujao tarehe 14 , na wewe si unaenda kwa wale wanaokodisha vifaa unawaambia una sherehe tarehe 14, simple tu, mwenye sherehe kakupa advance na wewe kule unakokodi vifaa unawalipa advance, super easy tu. Tunafanya hivo wenzio miaka kwa miaka mkuu
Nzuri sanaMkuu km una PC yenye uwezo mzuri na programs km za adobe after effects na nyingine za video production kuna kazi kibao kwenye freelancer platform km Fiverr.
Nicheck inbox nikuelekezee baadhi ya vitu.
Kazi hizi zinahitaji ujuzi wako tu na uwe na pc yenye uwezo mzuri ku run hizo programs