Nina chuki binafsi na huyu Jamaa (Bw.Kikwete), yaani simpendi tu, hata nikimuona hivi nasikia hasira mpaka basi... Sijui ni kwa nini, ila ndiyo hivyo tena...
Nina chuki binafsi na huyu Jamaa (Bw.Kikwete), yaani simpendi tu, hata nikimuona hivi nasikia hasira mpaka basi... Sijui ni kwa nini, ila ndiyo hivyo tena...
au labda alikukataa?Nina chuki binafsi na huyu Jamaa (Bw.Kikwete), yaani simpendi tu, hata nikimuona hivi nasikia hasira mpaka basi... Sijui ni kwa nini, ila ndiyo hivyo tena...
therapist nipo nitamtibu lakini sharti kwanza akapime kama hana virus au laMpendwa jaribu kutafuta therapist. Huenda wakawa na msaada zaidi.