mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
pepo la hasira litoke ndani yako katika jina la Yesu Kristo aliye hai pokea nguvu ya uponyaji in the name of Jesus.Heri ya siku njema ya Jumamosi.
Mimi nina changamoto ya hasira kali sana. Hii inafanya niwe mtu wa kujiangalia sana. Mpaka nywele za kichwa zinasimama nikichukia, halafu nakuwa natisha mno... namuogopesha mno mpenzi wangu.
Wanasaikoloji nisaidieni nahisi nitapasua kichwa cha huyu manzi au nitamtoboa macho au whatever... naandika muda huu huku nina hasira sana.
Pleaseeeee sitaki nimkate kichwa. Sitaki nimuone tu nimeamua hivyo. Sitaki nimuone tena nimechukia mno... hajafanya chochote ila basi tu nina hasira mno pleaseee naomba nisiendelee
SawaJaribu kudhibiti hisia zako kwa njia nyingi mfano. Kukaa kimya jambo linapotokea,kujaribu kupotezea/kuachilia jambo maana si lazima uliweke kwenye mind yako muda wote so jaribu kupotezea/kusahau kwa haraka kwa kujikumbusha kuhesabu mema kwa huyo bibie yaan mema yake yape kipaumbele/epuka kuyapa/kulipa kosa/makosa ukubwa ...hapa naamisha (kakukosea unaanza kusema kwa hili kosa hapana lazima nifanye ABC... acha kabisa hii kitu ndugu) na ikiwezekana hata kitu chochote atakochokosea bhas jichukulie huenda wewe ndio chanzo lakini hii inaleta udhaifu kidogo kwa upande wako
Lakini nje ya yote jaribu hayo juu hapo.
SawaMuone daktari haraka maana kuna hormone umepungukiwa...wahi
Mimi nina changamoto ya hasira kali sana. Hii inafanya niwe mtu wa kujiangalia sana. Mpaka nywele za kichwa zinasimama nikichukia, halafu nakuwa natisha mno... namuogopesha mno mpenzi wangu.
Hahahahah sawaWewe inabidi ukutane na mtu mwenye kaliba kama yako akutie vitasa a-restore akili yako.
Ahaa sawaKujaaa hasira ni udhaifu mkubwa sana.
Actually ni reflection ya shida iliyopo ndani ya mtu.
Werevu hujua.
Wakimuona mtu mwenye kuwaka mahasira wanajua ako anapitia matatizo mazito.