emmy mlyuka
Member
- Oct 11, 2018
- 20
- 22
Hello marafiki wa JF
Naitwa EMMY WILLIAM ni na miaka 26 nina elimu ya certificate in IT (information and communication technology)
Nina uzoefu wa kazi mbili tofaut kazi ya cashier nlishafanya royal oven bakery, mwananyamala hospital NMB, Magomeni hospital NMB kwa miaka kadhaa na nilishakua supervisor kwenye company ya alluminium and pvc window kwa mwaka mzima.
Hivyo natafuta kazi naweza kufanya kaz yoyote kama duka, bakery, wakala wa maswala ya fedha nna uzoefu nayo pia, secretary, receptionist, cashier, customer care au supermaket kazi yenye kuniingizia kipato kizuri
ASANTE
Namba yangu ya simu ni 0710444699