Nina bahati mbaya na mashemeji

Nina bahati mbaya na mashemeji

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,180
Reaction score
22,801
Mzee angekuwepo nadhani angekuwa anawacharaza bakora wao na waume zao.pumbafu kabisa.yule dada yangu mwingine ambaye amewekewa limbwata na shemeji kiasi kwamba anatomaswa tomaswa mbele yangu bila aibu ye hajali anacheka cheka tu kama fala.

Mimi na umri huu shemeji alikuwa sometime ananambia nimsaidie kazi ndogo ndogo za home.walimwondoa msichana wa kazi baada ya kugundua mimi namgegeda pale home.shemeji kwa roho mbaya akaona aninyime hiyo haki ya msingi akamshauri dada eti wamfute kazi huyo dada nisije nikampa mimba wakalazimika kulea.

Shemeji roho mbaya sasa naye amemaliza mkataba kazini kwake.mwezi mzima yupo home anaangalia sultan asub mpaka usiku.dunia tambala bovu.sasa ananiona mi mtu wa maana.

Huyu sister mdogo tulimwoza kwa mimba tu... Yaani hatukupata hata kitu.alitiwa mimba jamaa akavuta anajilia tu kwake.nami mungu si athuman nmepata kazi natafuta nyumba. Jana kaja kunisalimia shem anaondoka anagongea nauli kwangu.

Wakati kipindi kile alijidai yeye kidume kaoa kwa mimba.nmempa nauli tsh 450. Tena hapo inabidi amwombe konda maana imepungua kidogo.yeye alijifanya jeuri sana.sasa nmemfanyia kusudi.maana aliona kabisa natoa buku 10 then nikaenda dukani nikanunua big G za 2500 nipate change.then nikampa 450. Ukijua ya mbele wenzio wanajua ya nyuma.

Yeye alijiona hodari sana wa kujegeja...kuwa dada kampenda hivyo hivyo.nami nikasema mtaishi hivyo hivyo haina shida.sasa anaona hali ilivyo ngumu.

Mimi sijui kwa nini nina bahati mbaya na hawa madada na shemeji zangu.huyu dada mwingine mrembo aliyeko chuo nshamwambia naye asije leta mambo ya kidwanzi huko mbeleni
 
Unalilia msaada wa mashemeji?
 
Ulitaka wakuoe wewe?
 
Kwanza huu umbea unaoleta huku inaonyesha akili yako haiko poa haki vile, mwanaume unaandika mambo kama hayo. Tunaona aibu sisi wasomaji
 
nilienda kumsalmia sista angu ambaye kwa kipindi hiko nlkua sjamuona kama 5yrs nlkua na taarifa kaolewa so hatukua tnafahamiana na shem
nkafika ilkua ijumaa nkawa nne lay low nmsome Shem mda mwingi nlkua nalala tuu
hee jamaa akaniona mie fala j3 asbuh asiniamshe nmuoshee gari et anaenda kazini nosweti nkaosha na geti nkamfungulia
kesho yake tena kaniamsha.....sikuamka ktandani nkamtupia af10 nkanwambia kaoshe carwosh kama hana pesa!!
baada ya kuamka nkaenda supermarket nkanunua kuku 10 wale wa af10 10 nkanunua na kreti 2 za soda(nlkuta utaratibu huo hana) naona aliisoma kimyakimya kwa dada.
kunasiku nkamtoa out baada ya kilaji nkajikuta nneropoka.... ukitaka unione mbaya mpige dadangu we kazi yako ni kumto mb a tuu na sio vinginevyo

kuanzia kipindi icho ananiogopa, sista akizingua wakwanza kuambiwa ni mimi
nnao uwezo wa kumkoromea, lkn ngekua fala tuu angenileteaga story kama zako!!

je huyo shemeji yako angekua na kazi asaiv ungeishije?
ingawa sishauri ulipize baya kwa baya. tafta ela then kua wewe!!
by tha way masheji sio watu wa kujiweka karibu nao!!

:NB ukija oa usiwe fala kama uyo Shem ako
 
Back
Top Bottom