Nina bahati mbaya na mashemeji

Nina bahati mbaya na mashemeji

Anaweza kuwa hajaandika kuwa alimgawia big G,lakini obviously lazima atakuwA alimgawia big G za 2500 Ni nyingi Sana Kama watu huwa tunagawana za 200/-

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaaa pongezi kwa kuangalia mambo kwa mtazamo chanya, ila kwa jinsi mada ilivyowasilishwa nachelea kuamini hilo.
 
Huyu jamaa fala sana yeye alidhani akishatia mimba basi anajua amemaliza. Sasa ngoja tu aje afahamu kuwa kila mtu anajua kutia mimba issue ni kulea na kutunza.

Haha hahahaa punguza hasira kidogo utawauwa wapwa zako kwa njaa .... mkuu hapo haumkomoi shemeji yako pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom