nina bachelor ya wanyama nataehta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nina bachelor ya wanyama nataehta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by msikivuTz, Aug 8, 2011.

 1. m

  msikivuTz Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 25
  hi jf, jamani mm nina bachelor ya wanyama (livestock), je kuna m2 anaweza kunisaidia sehemu nitakayopata ajira iwe private organisation popote nndani na nje ya nchi
   
 2. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Apply wizara ya kilimo na mifugo
   
 3. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mkuu kama una bachelor ya livestock s ujiajiri?sie tuliosoma masomo ya sociology ndio kujiajir inakua ngumu!ila ya kwako hiyo bomba sana unaanzisha shamba lako la mifugo!unauza maziwa!ajira kudanganyana tuu huku.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  na huko ndo mahali pake..
   
 5. M

  MZALAMO JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60
  Hakuna haja ya kuajiriwa fungua ofisi yako jitangaze utapata wateja wengi tu hasa hapa Dar kuna wafugaji wengi wa kuku, ng'ombe,mbwa na n.k. kuajiriwa ni utumwa nakushauri jiajiri mwenyewe utaona mafanikio.kwa nini nyinyi wasomi hamtaki kujiajiri mnataka kuajiriwa tu?
   
 6. m

  matunge JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  tafuta passport, nenda botswana, fani za wanyama zinalipa sana...pia tembelea website ya government ya australia..wana nafasi nyingi sana za foreigners..hasa kwa fani hizo
   
Loading...