Nina Arosto

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Otea sasa mr Zero IQ anaweza kuwa na Arosto ya nini?

1😛apuchi
2😛esa
3:Sigara
4:bangi


Au kitu gani cha kunipa Arosto Asubuhi hiiii?
 
Siti ya mbele kabisa nawai 2 hasa nikipata hyo namba 1 aisumbui
 
Bange, Sigara na papuchi ndo vitu vibaya... fanya uwe na arosto ya pesa...
 
Bange, Sigara na papuchi ndo vitu vibaya... fanya uwe na arosto ya pesa...
Ukiwa na Pesa huwezi kuwa na Arosto ya vitu vingine kwa sababu utavipata kwa wakati
 
Sigara baby

Maana puchi nakupa unaikeshea
Mjani unauvutaga
Pesa unayo ya kutosha tu baby
 
Sigara baby

Maana puchi nakupa unaikeshea
Mjani unauvutaga
Pesa unayo ya kutosha tu baby
Najua unanijua vyema baby that why i love u .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…