UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hongera mkuu mimi nakuamini!!Habari wana JF,
Katika mikikimikiki ya maisha nimejigundua nina uwezo mkubwa sana wa akili katika mambo mengi ya kimaisha. Nina uwezo wa hali ya juu wa kujua nini kitatokea kesho, jinsi ya kusoma akili za watu kwa usahihi kabisa na si kujisifia.
Kiufupi nina akili za ziada ambazo ni adimu. Nina uwezo wa kutatua jambo lililoshindwa na watu wengi na likafanikiwa. Kama una jambo gumu liweke wazi.
Computer sio intelligent zaidi ya binadamu....Mpaka leo watalamu wa kitu kinaitwa artificial neurons wameshindwa kuiga reasoning process ya binadamu kwa asilimia..Computer inamzidi binadamu kwenye umakini tu wa tasks kubwa lakini sio suala la intelligence.. Kama unabishaa niendelee kukupa somo....Computer itakuwa intellligent zaidi ya binadamu iwapo itaweza kujifunza kama binadamu na kufanya ugunduzi kama binadamu.akili zako ndogo na zina ufinyu wa uekewa. Huwezi kujilinganisha na computer iliyo buniwa na kutengenezwa na binadamu wenzako au na wewe unapokea command from somewhere else kama computer?
Dah!Hongera mkuu mimi nakuamini!!
Nina upako wa kujua wahuni wanaotaka kutapeli watu. Kama una shida njoo nIkwambie nani tapeli wa kutumia shida za watu! KARIBUHabari wana JF,