Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,376
mkuu nitafute nikuuzie Nissan XTrail
NAUKUMBUKA WIMBO WA BONGO FLEVA WA BABU WA KITAA AKIMSHIRIKIJA MCHIZI MOX NA MAREHEMU LANGA UNAITWA "KIMBIA FASTA".....HAPO UNAHUSIKA.
mkuu nitafute nikuuzie Nissan XTrail
Tuwasiliane nikupe toyota harrier, gari ipo vzr sanaa tuwasiliane kwa namba hii.0756653128, 0785636880.
Mkuu nimegundua JF ni zaidi ya kariakoo, nahisi unaweza ukapigwa ile mbaya. Kweli Magufuli kabana 6m imepata hadi mteja wa Harrier au wanatania tu. TAKE CARE, WENGINE HAWANA HATA PHOENIX HAWAWana nzengo nahitaji gari ambalo mtu ameshatumia walau mwaka au miaka 2 na anahitaji kuliuza, ili na mm nijibanze humo, mfano paso na gari mfano wa hizo toyota ist na kadhalika
Kwa mwenye taarifa naomba tuanzia pm kwanza
Kweli? labda kama anataka kufilisika maana atapata gari kila siku atakuwa garage.sijui hivyo vigari vya ajabu lakini mimi nimenunua gari Toyota corolla new modern mwaka 2012 kwa shs mil 15Milion sita unaongezea kidogo unaagiza npya dukani