Nina 6 million nahitaji gari used

Nina 6 million nahitaji gari used

jean phillipe beyun

Senior Member
Joined
May 18, 2015
Posts
142
Reaction score
167
Wana nzengo nahitaji gari ambalo mtu ameshatumia walau mwaka au miaka 2 na anahitaji kuliuza, ili na mm nijibanze humo, mfano paso na gari mfano wa hizo toyota ist na kadhalika
Kwa mwenye taarifa naomba tuanzia pm kwanza
 
nina Baloon-Cresta naiuza mil.6.5njoo nikuuzie ni nzuri kabisa.
 
Wana nzengo nahitaji gari ambalo mtu ameshatumia walau mwaka au miaka 2 na anahitaji kuliuza, ili na mm nijibanze humo, mfano paso na gari mfano wa hizo toyota ist na kadhalika
Kwa mwenye taarifa naomba tuanzia pm kwanza

tulia kijana, mil 6 hela nyingi sana usipokuwa na haraka utapata gari nzuri sana, usiwe na papara
 
Milion sita unaongezea kidogo unaagiza npya dukani
 
Wana nzengo nahitaji gari ambalo mtu ameshatumia walau mwaka au miaka 2 na anahitaji kuliuza, ili na mm nijibanze humo, mfano paso na gari mfano wa hizo toyota ist na kadhalika
Kwa mwenye taarifa naomba tuanzia pm kwanza

mkuu nitafute nikuuzie Nissan XTrail
 
Tuwasiliane nikupe toyota harrier, gari ipo vzr sanaa tuwasiliane kwa namba hii.0756653128, 0785636880.
 
Wana nzengo nahitaji gari ambalo mtu ameshatumia walau mwaka au miaka 2 na anahitaji kuliuza, ili na mm nijibanze humo, mfano paso na gari mfano wa hizo toyota ist na kadhalika
Kwa mwenye taarifa naomba tuanzia pm kwanza

Mkuu nipe milion nane uchukue Verrosa namba ni D
 
Wana nzengo nahitaji gari ambalo mtu ameshatumia walau mwaka au miaka 2 na anahitaji kuliuza, ili na mm nijibanze humo, mfano paso na gari mfano wa hizo toyota ist na kadhalika
Kwa mwenye taarifa naomba tuanzia pm kwanza
Niko na Toyota Duet, manual....7.5m cash unaichukua. Iko vzr sana.
 
Back
Top Bottom