sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,162
Natafuta simu nzuri bandugu wa JF lakini isiwe Techno au Huawei wala aina za kichina, je ninunue simu gani?
Tecno sio zote ni tecno uchwara hapo unapata tecno phantom5 ni nzuri mno na inauwezo madhubutiNatafuta simu nzuri bandugu wa JF lakini isiwe Techno au Huawei wala aina za kichina, je ninunue simu gani?
Sio crack hiyo inaitwa expansion jointnjoo tubadilishane nikupe hii samsung s7 edge yangu....nmeitumia wiki 3 tu, ila leo nmeiangusha kukatokea crack kidogo.
0655101826Njoo nikupe samsung galax j7 ina miez 7 toka inunuliwe!
Mm natunia uhawei P10 hiyo pesa yako izidishe Mara mbili na uongezhapa dola 100 ndio unamiliki p10Natafuta simu nzuri bandugu wa JF lakini isiwe Techno au Huawei wala aina za kichina, je ninunue simu gani?
Kuna iPhone 6 brand new!Natafuta simu nzuri bandugu wa JF lakini isiwe Techno au Huawei wala aina za kichina, je ninunue simu gani?
Mkuu ni original au kanyaboya kama una uhakika njoo pembeni tupeane mchongoKuna iPhone 6 brand new!
420k
It's complete (fullbox)
Nenda dukan Mkuu kachek j7 samsungNatafuta simu nzuri bandugu wa JF lakini isiwe Techno au Huawei wala aina za kichina, je ninunue simu gani?

It's original kabisa mkuu!Mkuu ni original au kanyaboya kama una uhakika njoo pembeni tupeane mchongo
Kufa kufaana tutafika tuNjoo nikuunganishe upate Samsung J7 mpya dukani kwa bei ya jumla ila andaa 10,000 yangu ya soda![]()

Unatak cm ya aina ganiNatafuta simu nzuri bandugu wa JF lakini isiwe Techno au Huawei wala aina za kichina, je ninunue simu gani?