Nimwonavyo Dr. Slaa (Maoni yangu)

Acheni kujidanganya slaa hana mpango hana mpango.................x1000000000...........
 

Napita kimya kimya???????
 
Ajabu.........................!!!!!

Slaa ahamia chama cha mapinduzi.
Mnamwita mpiganaji!!!!!!
 
Naam nashkuru umepata kaka,ni wazi SLAA Ahadi zake hazina msingi,mpaka sasa ana mda mrefu katika ubunge,je ameleta Mabadiliko gani Karatu,je ameondoa umaskini au kakuza kiriba tu na 1st lady wa msimo,Tanzania bado haijafikiwa kuongozwa na mhuni
hahahaha na JK bagamoyo hivi vichekesho!
 
naam nashkuru umepata kaka,ni wazi slaa ahadi zake hazina msingi,mpaka sasa ana mda mrefu katika ubunge,je ameleta mabadiliko gani karatu,je ameondoa umaskini au kakuza kiriba tu na 1st lady wa msimo,tanzania bado haijafikiwa kuongozwa na mhuni

get lost.................. Wapuuzi kama wewe ndo mnaopigania mfumo wa chama kimoja. Nenda kwenu kalime mihogo
 
Ajabu.........................!!!!!

Slaa ahamia chama cha mapinduzi.
Mnamwita mpiganaji!!!!!!

ENDELEA KUOTA. MWANAMAPINDUZI WA KWELI HAWEZI KUKAA CCM. KAKOJOE ........UKALALE:nono:
 
kama alikuwa nazo angezitoa kabla:smile-big:
 
Hata wakichakachua kura zake lakini mioyo yao inawasuta, umma unatawala wao wataishi kwa hofu wakitegemea nguvu ya dola. wameona jinsi umma ulivyochoshwa na maisha haya, kwa kweli katika miaka 5 ijayo sitoshangaa kuona umma ukiwa mitaani kudai haki zao kwa nguvu,mifano ya Mwanza ,Arusha,Karagwe, Iringa mjini, Mbeya mjini na kwingineko ni ushahidi tosha na kielelezo cha umma kuukataa utawala uliopo. Watanzania mioyoni wana machungu iko siku watalipuka, Watawala jirekebisheni kabla ya shari....Tunataka Tanzania yenye amani, msituletee Balaa kawa uroho wa mali na madaraka
 
tutajie lipumba ana mke au la
 
Dr. Wetu wa ukweli twasubiri ripoti yako hao NEC ni washenzi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…