Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
Habari wakuu
Kuna binti nilikua nampenda sana na tumekua nae kwenye mahusiano kwa yapata mwaka mmoja
Badae alianza kubadilika hasa linapokuja suala la kunyanduana yani nikwa manati sana
kiufupi nikawa mpenzi wa kuitwa kwenye sms tu so nikaamua kumpotezea kimya kimya na nikiri wazi Jf ilikua chuo changu kizuri cha kufanikisha hilo.
Mwezi huu nilianza mahusiano na binti mwingine ingawa nilimuweka wazi kwamba sina mpango wa kupata mtoto mwaka huu
Siku ya valentine ndo tukazindua rasmi penzi kwa ku do na kulingana na mzunguko wake alonambia sikua na shaka kabisa maana alimaliza period 27 January
Sasa changamoto ni kuwa kuanzia juzi huyu binti mpya alinambia kuhusu mabadiliko ya kiafya yanayoashiria ujauzito na leo kapima kanambia ni mjamzito kibaya sina hisia nae kiivo kama yule binti alopita.
Cha ajabu binti alopita leo kanitafuta akaniita majina mazuri na akanambia anataka penzi letu tulianze upya kwani amegundua hawezi kupata furaha popote zaidi yangu.
Kiukweli nimehisi hasira sana maana yeye ndio amepelekea mpaka mimi kuwa na mtu ambae sikutarajia na mpaka sasa kuna dalili za mimi kuingia tena kwenye issue za kutoa kiumbe ambavo sikutarajia.
So nataka nimwambie hii issue ilonikuta sababu yake ili ajue cha kufanya
Je nitakua sahihi au nimechanganyikiwa.