ππππAende Takukuru, amshitaki huyo Mama kwa uhujumu mapenzi na kutakatisha mahusiano
[emoji23][emoji23]Aende Takukuru, amshitaki huyo Mama kwa uhujumu mapenzi na kutakatisha mahusiano
Mama kuna kipind alibeba mimba akamwambia dogo wamsingizie mumewe baadae akaichoropoaSasa Hapo Kuna Tatizo Kweli?
Jamaa Ampe Masharti Mama, Hoja Ije Wazae Kwanza Bila Kujari Kama Kaolewa Uone Mama Atakuwa Mpole
Mengine Hakuna Ushauri Ila Ajiongeze Kidogo
Elimu Siyo Cheti Ni Ujuzi
AiseMama kuna kipind alibeba mimba akamwambia dogo wamsingizie mumewe baadae akaichoropoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aachane nae tu ila azingatie kufanya kazi kwa welediSasa Hapo Kuna Tatizo Kweli?
Jamaa Ampe Masharti Mama, Hoja Ije Wazae Kwanza Bila Kujari Kama Kaolewa Uone Mama Atakuwa Mpole
Mengine Hakuna Ushauri Ila Ajiongeze Kidogo
Elimu Siyo Cheti Ni Ujuzi