Nimueleweje na nifanyaje?


Haya mwalimu. Shukurani pole pole tutafika.
 
Yuko trainining ya kazi yetu maalum huku mbweni akimaliza atakutafuta ondoa shaka

Okay hebu nijuze hiyo training ya kazi. Aaaaahhaa . Huwezi jua labda ni Kweli. Thanks dear .
 
hiko ni kibuti dada kusoma hujui hata picha huoni..loh hebu move on na life yako
 


Asante na wewe mwalimu wangu.
 
Hata ningalikua ni mimi yeye ningekuwacha kwa kuwa unaonekana una kichwa ngumu sana kuelewa.... yawezekana amegundua kwa feelings zake hamtaendana na hataki kuku umiza.

Kichwa ngumu yangu iko wapi? Kwamba nifuate kila ninachoambiwa bila kufikiri na kuchanganya na yanayoendana na situation yangu then ndio niweke maamuzi? Hebu nieleze hiyo kichwa ngumu yangu iko wapi. Halafu kumbuka watu tunatofautiana ndugu. Nafsi na mioyo iko tofauti . Nakusikiliza jibu . Asante.
 
matatizo siku zote yanatufanya tukomae kiakili,,chukua mda wako mpendwa yaweza kuwa ana mke..
 
Nimejaribu kutafuta hiko kitufe Hata sikioni . Sijui ni macho yangu au. Asante.
Lakini naona lau umetoa likes 9 kuliko jana ilikuwa ni 0,hiyo inaonyesha umekiona hicho kitufe cha like and you have improved,hongera sister.
 
sasa hapo kuna upendo gani ulopatazaidi ya kujazwa maumivu moyoni?

soma alama za nyakati mwanangu,




Ni Kweli ukisemacho.Lakini kumbuka hela bila furaha moyoni na utu ni kama bure. Hela siku zote zipo utazitafuta , Je upendo na utu unaweza kuvipata kiurahisi kama hela? I doubt it . Asante sana!
 
Aaaaaaaahhhh Asante kwa kunipa smile ndugu Aaaaaaaahaaa !!!

we mwanamke! Hizi sio zama za kulilia na kung'ang'ania mtu ambae keshaonesha dalili kwamba hakujali..just live ur life..he will one day make u do stupid thngs just bcoz u love..wanaume wako weng utampata tu anaekujal..mfano mim niko single(kidding)!
 

pole mwaya mi ishantokea apa nkachuniwa miez 5 ikabd nikae kimya na mm lkn mwsho ake alinitafuta mwenyewe na mi nkamzngua kdogo km alvonfanyia.we tulia usihangaike tna msahau kabsa ivo unavohangauka nae ndo anapata mapembe.
 

pole mwaya mi ishantokea apa nkachuniwa miez 5 ikabd nikae kimya na mm lkn mwsho ake alinitafuta mwenyewe na mi nkamzngua kdogo km alvonfanyia.we tulia usihangaike tna msahau kabsa ivo unavohangaika nae ndo anapata mapembe.
 
pole mwaya mi ishantokea apa nkachuniwa miez 5 ikabd nikae kimya na mm lkn mwsho ake alinitafuta mwenyewe na mi nkamzngua kdogo km alvonfanyia.we tulia usihangaike tna msahau kabsa ivo unavohangaika nae ndo anapata mapembe.

Asante dear. Ndio nimeanza hilo zoezi la kusahau na kumpa muda . Thanks
 

Kwenye bold ,,,,Excellent!!
 
Usipoteze sana mda kumuwaza mtu ambae may be hana future na ww time is limited so kuwa busy na mambo yako acha kumtafuta kwanza uone itakuwaje asipokutafuta tena potezea utapata mwingine.sometimes we need to LEAD our hearts sio kila moyo unachokusukuma kufanya ni sahihi muombe Mungu akusaidie katika hili cos I know how hard it is na be strong.good luck
 

Asante my dear. Nashukuru sana. Thanks!
 
Cha msingi achana nae ndugu yangu utaumwa kichwa wakati yeye hana muda na wewe tena
 

Ndio umeamua kunitangaza hadi huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…