Nimueleweje mpenzi wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimueleweje mpenzi wangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jmturu, Oct 21, 2011.

 1. Jmturu

  Jmturu Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari zenu wana jamii?
  Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20,nina boyfriend ambaye tulitokea kupendana sn. Ktk mahusianö ye2 ikatokea kuwa nimepata ujauzito kwa bahati mbaya.
  Kiukweli cjawah kushiriki vitendo vya abortion hvyo niliogopa sn na kuamua kuitunza hii mimba kwa kuwa pia muhusika alikuwa tayari na aliniahidi kuwa pa1ja nami hadi mwisho na kuwa baba mzuri kwa kaming kid wake.
  Tatizo,ni miezi5 sa2 tangu niwe mjamzto nyumbani kwe2 wanataka kumjua mwanaume aliyenipa mimba hii aende rasmi akajitambulishe na kuhaki2shia familia kuwa huu mzigo ni wake. Mwanaume hataki ht kusikia kwenda home,na kanihaki2shia hatafanya hvyo kamwe.
  Mimi hii inaniumiza kichwa sn kwani cjui huyu mwanaume amepanga ni2 badae kwa kusema hvyo ingawaje ananihakikishia atawajibika km ba2 kwa mtoto wake . Then home watanielewaje coz ht cjui jibu la kuwapa. Nisaidieni ushauri wanajamii.
   
 2. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  pole sana mpendwa kwa yaliyokukuta .mimi nadhani ni uoga unamsumbua huyu kijana na kuna mawili kimtazamo either
  uoga kwa wazazi wako
  msimamo wake wa kimaisha kwa sasa hauko vizuri anahofu ya kutoweza kutunza mimba +mtoto mtarajiwa
  jitahidi kuvumilia jaribu kutafuta rafiki zake wakaribu waweze mkushauri .na kama wazazi wako wamekubali hiyo mimba yeye uoga wa nini kama ana mapenzi ya dhati kwako
  maisha yana juu na chini mtangulize muumba (kama unamuamini) kwa sala yataisha tu maana inataka ujasiri sana kujilipua ...
   
 3. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 160
  polee sanaa,inawezekana kijana akawa muoga kujaa kwa wazazi wako ana hofia hawa kawii kuforce ndoa wakati yeye hayuko tayari bado,na maanisha ajajiandaa kuanza maisha ya ndoa kwa sasaa!kama kijana yuko responsible na kakubalii kutimiza majukumu yake,we kuwaa mvumilivu jaribu kuto kunganganizaa,zidisha upendo kwake kitaelewekaaa
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  May be ni just uoga tuu wa huyo kijana maana anaona kama anaweza kuambiwa aje kuingia kwenye masuala ya ndoa wakati bado hajawa tayari
  Na may ne anaona kuwa atakabidhiwa mke wakati bado hajawa tayari kufanya hayo
  Kaa nae umshauri msimamo wa wazazi wako kuwa ni just kumuona tuu na kujua mwenye mimba ni nani na sio zaidi ya hapo
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  J ,kwenye red,sijakuelewa,hiyo mimba ya 'bahati mbaya' ndoooooo????
  sasa nikuulize kitu kingine,umeshamaliza shule,una ajira au kipato chako mwenyewe? au bado unategemea wazazi?
  Kama una uwezo wa kujitegemea aidha kupitia ajira,kilimo au biashara basi wala usikonde,tunza mimba yako,zaa ,mpende mwanao,mtunze vizuri kwa kadiri utakavyoweza.Kama bado unawategemea wazazi basi wewe kuwa mkweli kwao kwamba alokupa mimba haelekei kukuoa na unaomba msamaha kwa lilitokea ,watakusaidia tu kulea mjukuu wakati unajipanga upya.Be strong wala usiogope,mambo haya ni ya kawaida sana,hauko peke yako.Abortion,no wala usiiwazie.
   
 6. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kwanini hamtumii condom jamani...?
   
 7. Jmturu

  Jmturu Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  bahati mbaya means ckupanga kupata ujauzito kwa kipind hiki. Nimemaliza 4m six feb mwaka huu huu. Nategemea mwakani kurudi tena shule coz majibu c mazuri bt hthivyo am a good salunist ktk salun ya mamangu aliyoniachia. So am duing my time there nikijitafutia kipato.
   
 8. Jmturu

  Jmturu Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ckatai condom ni njia nzuri ya kuzuia mimba,lkn c pekee. Mimi nilikuwa natumia njia ya kuhesab MP cycle yangu coz 2naaminiana na 2nazijua afya ze2. Bt stil this happen.
   
 9. Jmturu

  Jmturu Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  thnkx rocky 4 adv.
   
 10. Jmturu

  Jmturu Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  asante.
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa vile ulisha anza ukubwa mapema.
  Huna budi kuwaambia wazazi wako nani uliye kuwa unampa uroda ili wakusaidie
  Uliona tamu sasa chungu kumesa.
  Bora kama tiGo ulikuwa humpi
   
 12. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  anaogopa ndoa ya mkeka
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Zana vipi?Za kinamama zipo,wewe ungepachika bila kumuarifu yasingekukuta.
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  pole mtoto tulia tu upate mtoto
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Pole mwaya,cha kufanya waambie ukweli wazazi wako kwa kumtaja huyo jamaa na pia kuwajulisha mlivyokuwa mmeahidiana na jinsi mwenzio alivyo hataki kuja kwenu,hiyo itasaidia hata wao kumtafuta na kuongea naye ili kujua sababu ya yeye kukataa kujitambulisha kwenu ile hali anaikubali mimba pia itasaidia wao kuwa radhi kukusaidia wakati wote kwa kuwa muwazi kwao.
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  ninavyojua mimi bahati mbaya haipo, ila kuna uzembe. Ulikuwa unakimbilia wapi? Hivi wakati unampanulia miguu ulikuja kuomba ushauri? Ndiyo maana mnafeli, lazima utakuwa na zero wewe.
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  hakuna mimba ya bahati mbaya. Pia pole jiandae kuwa single parent. Vilivile watajie mwanaume alokupa mimba. Mwisho panga maisha yako na mtoto
   
 18. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #18
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli wewe tindikali!!!!Hajaomba lawama,kaomba ushauri,na kama unaona huwezi kumshauri kwa hilo,PIGA KIMYA!
   
 19. Jmturu

  Jmturu Member

  #19
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  thnkx.
   
 20. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #20
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MP cycle za wasichana wa umri wako huwa hazina msimamo sana,kuzihesabu sio jambo la kutumia kuzuia mimba kwani hazitabiriki!All in all,imeshatokea na kwa sasa inabidi uwe jasiri na mwenye busara,mimba sio sumu binti,kadri utakavyoonyesha ujasiri wa kumudu hii hali ndivyo baadaye utakavyoheshimika kama mama.Huyo jamaa ni muoga tu,wote tumetokea kwenye mimba,waeleze wazazi wako namna ya kuongea naye huyo man wako,then ukiweza mhakikishie kwamba hatolazimishwa kukuchukua ama kukuoa kwa sasa,vilevile...USISAHAU KUSALI!Mlilie Mungu wako wakati huu wa shida na atakusikia!
  Utalaumiwa sana,utasemwa sana,utadharauliwa sana lakini ukiweza kusimama na kusonga mbele,WATAKUSIFIA BAADAYE!!!
   
Loading...