Nimueleweje huyu mwanamke?

Hakuna ukweli hapo,huwezi yeye alipoanza safari ya kuja Tanga,alitoa kisingizio ili msionane,amekuchagiza umeanza kwenda napo katoa kisingizio usiende! shtuka anakuzingua,kazi gani anafanya awe busy usiku na mchana! amekufanya -----,subiri akupige Mzinga wa hela ukimpa Mawasiliano yatakufa!
 
Mkami Lum

Duu! Hiyo kali kwan ww hujuw kaz aliyo nayo? Je kwa kupima ni kweli atakuwa buse, so fanya hiv kaa kimya tu msikilizie mpaka yy apige kwamba anakuja, tena kama vipi usimpigie ww
 
Last edited by a moderator:
No no no kinachoshangaa ni kinachomtoa Shinyanga to Tanga...!!!! Is it really worth it!?????????

Apparently. Watu wanavuka mabara just to get a piece of that apple pie bro. Never underestimate how magnetic that 'wonderland' can get.
 
Mwanaume lazima uwe na amri aisee, uko njiani from Kahama to Tanga then kufika njiani anakwambia yupo busy??? Km ni mm ningeenda tu, mbivu na mbichi zingejulikana huko huko!
 
Hii laki mbili ya Zimbabwe au ?
nyie masista duu mnajionaje kwani?
mnajiona mna thamani ya samsung s2 au sio ??

Thamani yangu huwezi kuniringanisha na chochote...
Je wewe thamani yako ni sawa na samsung S2 ????
 

Nitafanyia kazi mawazo haya......
 

ni nurse.....
 
Duu! Hiyo kali kwan ww hujuw kaz aliyo nayo? Je kwa kupima ni kweli atakuwa buse, so fanya hiv kaa kimya tu msikilizie mpaka yy apige kwamba anakuja, tena kama vipi usimpigie ww

Ni nurse aise...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…