Nimuapuke vipi huyu msichana?

Mshkaji wa kwanza aliachana nae kwasababu ya uzulumishi, wa pili kwasababu ya totoz basi na wewe muonyeshe kwamba una totoz ataachana na wewe unless unaishi kama paroko lazima akusumbue. Tafuta totoz wa kutosha wa kutesa nao hata kwa mwezi na yeye umualike ili aone lazima ataondoka hiyo ndio shortcut way.

siishi kama paroko lifestyle yangu ni simple kabisa kama girlfriend wangu akiwa free huwa nazuga nae sana tu na hata nikikaa nae watu wote hujua tu yule ni girlfriend wangu hata yeye anajua
 
Wee nae inaelekea unamzimia kimtindo... Sasa mwambie moja kwa moja kwamba hutaki hizo biashara anazokuletea kwani wewe sio mnunuzi...! Unaogopa nini Kaka??

simzimii hata kidogo na yeye anajua kama mimi nina girlfriend wangu, sijui ana lengo gani? ninachotaka ni kupata solution ya kumwepuka bila kukwaruzana nae..
 
siwakandii hao jamaa ila naongea vitu ambavyo nina uhakika navyo na hizo ndizo sababu zilizomfanya binti aachane na hao washikaji

ilikuwaje na unauakika gani hzo ndo sababu zlizomfanya ahachane na washkaji zako
 
Haahaaaa hapa umenena, lakini inatakiwa staha iwepo, kama kuna moja ametuma asubuhi anaonyesha tumbo lake na amevaa bra tu

hapo Unahitajika Kujiamini Na Staha Inawekwa Pembeni,Inaonekana Ana Lake Maana Yeye Anajua Kuwa Uko Na Wako..!Kwa Nini Akutege Kikandekande namna Hyo!!?
 
siishi kama paroko lifestyle yangu ni simple kabisa kama girlfriend wangu akiwa free huwa nazuga nae sana tu na hata nikikaa nae watu wote hujua tu yule ni girlfriend wangu hata yeye anajua

Basi huyo msichana hajatulia si ajabu hata hao marafiki zako walimshindwa bora umwambie ukweli la sivyo utagombana na msichana wako. kama msichana wako akija kujua ukweli wote au kuona hizo picha alafu umpe sababu ya kwamba ulikuwa unaogopa kumwambia maneno makali hakitaeleweka.
 
Huo udhaifu usipokuwa mkali ukaonyesha msimamo wako kuna siku utakuja kusema aliingia chumbani kwako usiku na kanga moko bado unaomba ushauri tuu. shauri yako mpe makavu Kama unamuonea Huruma, basi mpe akitakacho yaani utamu anakuonyesha.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
unalo la kunishauri mkuu? au huna?

Manyanza acha kulea kidonda hicho.....kwani kuna ubaya gani ukimwambia tu kuwa unashukuru kwa picha ila huzifurahii hivyo utafurahi sana kama atakuwa anakusalimu bila kukutumia hizo picha......mwambie bana kama kweli hufurahii.....huko kunyamaza ndiko kunafanya azidi kukutumia manake anahisi labda zinakufurahisha!
 
Last edited by a moderator:
piga game ,alafu jikatae kwani vipi ,ebu just imagine anakitumia pocha tumbo lipo nje katupia bikini na nini i@i iweje??kusoma hola pocha pia!!funguka mkuu
 
Te te teeh..! Ama kweeli kwenye miti hakuna wajenzi. Nipe number yake coz nipo single. Nitumie kwenye 0657 511 117
 
Te te teeh..! Ama kweeli kwenye miti hakuna wajenzi. Nipe number yake coz nipo single. Nitumie kwenye 0657 511 117

serious? na akikuuliza utamwambiaje? mimi nataka tu asiendelee kunisumbua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom