Nimuache au nifanyeje wadau

Nimuache au nifanyeje wadau

ni shyder.......
you-havent-texted-me1.jpg
 
Jamaa Kakuambia Yupo Biz,, Ww Ucwe Mchepuko We Bak Njia Kuu Mama,,, One Day Utaienjoy Xana,,, Kama Utachoka Njoo Kwang Mm Pia Ni Accountacy cpo bize kabixa
 
Hebu tulizana wewe...angekuwa hakupendi asingepoteza time yake kuspend na wewe anapokuwa free.....ubize ni jambo la kawaida katika maisha..by the way nature ya kazi yake umekwisha ijua..ya nini kujipa stress???kuwa mvumilivu na mwaminifu...ipo siku huyohuyo atakusaidia kusahau tabu zote za ujana...sikushauri kuachana naye coz siyo vema kuwa na msururu wa kjwa na mahusiano na watu wengi....just handle him well na unapopata fursa ya kumweleza unavyovipenda au kuchukia usifanye kosa...ni hayo tu
 
Muache tu... atafute banker mwenzake
 
Back
Top Bottom