Nimuache au nifanyeje wadau

Nimuache au nifanyeje wadau

chardams avatar hiyooo
anataka ulale nae 24/7 na uwe na $$$ muda wote

Yeye madolali hataki anataka niwe home 24/7 kosa ifike saa tano sijarudi home. Huduma zote mhimu zinasitishwa
 
Last edited by a moderator:
We starehe zako zimkoseshe jamaa maisha?tembea huko huna hata haya yaani miezi mi4 tu ushaanza kugawa papuch? Mh hongera unaonekana wewe nimgawaji wa sana ndio maana unataka kumtafuta mwingine ,ukome kusumbua watu na ukame wako.
 
We starehe zako zimkoseshe jamaa maisha?tembea huko huna hata haya yaani miezi mi4 tu ushaanza kugawa papuch? Mh hongera unaonekana wewe nimgawaji wa sana ndio maana unataka kumtafuta mwingine ,ukome kusumbua watu na ukame wako.

Unaonekana una strees za maisha mbona povu jini lakutoka???
 
Unaonekana una strees za maisha mbona povu jini lakutoka???

mmh! Kwan uongo?! Ww miez minne tu unaomba ushaur wa kumuacha au kuendelea naye?? Huon kuwa huna msimamo na unatamaa
 
Yeye madolali hataki anataka niwe home 24/7 kosa ifike saa tano sijarudi home. Huduma zote mhimu zinasitishwa

nenda nae siku moja umpe kiti akae akusubiriii hadi umalize kazi zako....hatorudia kusitisha huduma
 
Habari zenu wapendwa Am a girl 24 nmetokea kuwa na mahusiano na kijana mmoja ambaye tumefahamiana naw n kama 4 month,yeye ni accountancy wa benk so most of de tym ni yupo bize! Mwanzo wa mahusiano yetu alikuwa anajitahd sana even kuntext ile morng sana na jion pia twaongea bt hv sasa amekuwa too much bize even kuongea ni kwa sku mara moja najiuliza kama kweli ananipenda lkn sipati jibu nikiwa nae anaonyesha kunipenda na tunaenjoy sana tukiwa pamoja anafuraha sana lakini tukiachana hapo mhm of coz sy mtu wa kupnda chatng ukimtext anajibu short sana hiyo hali nimeizoea kias lkn sasa nafkiria niachane nae coz namuhitaji sana na ana mda mdogo wa kuwa na mm let say per week ni kama siku moja twaonana! Sioni raha yyte ya kuwa nae japo i ril love him,kuna siku nikamuomba tutoke for dinner bas tukiwa huko nikajaribu kumweleza vile nakuwa lonly lakini alwayz majibu yake n ubize,mara anachoka ec, Naombeni ushauri wenu
Inaonekana mlikutana Ambiansi au Masai Club wakati yeye anapita njia pale wewe unakuaga pale kibiashara zaidi ndio maana umeshindwa kuendana nae.
 
Atareeeee sana,,njoo kwangu mimi nikucheza bao na kunywa kahawa anytime i think tutawezana au vp toto juri
 
Njoo kwangu mi sina kazi ivyo uwa napenda kushinda nyumbani nikitazama movie zikinichosha uwa naamia kwenye social network kama ivi na napenda sana kuchat iwe kwa simu au kwa njia yoyote ile...nina experience kubwa ya kuchat tangu enzi za Darhotwire, simu yangu nimeizoea kiasi ambacho naweza kutuma sms ya maneno mengi bila hata kutazama ivyo hata nikiwa nacheki series zangu naweza tu kuchat. Tunaweza kuchat mpk usiku wa manane kwa kuwa kesho yake sina pa kwenda...nadhani mimi na wewe ndio tunaendana, achana na huyo accountant wako, yeye anatakiwa awe benki teller ndio wanaendana kwa kuwa nae atakuwa busy.....
 
Tafuta basi mtu asie na kazi uweze kuwa nae na kuchat 24/7...
 
Back
Top Bottom