umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 675
Habari zenu wapendwa
Am a girl 24 nmetokea kuwa na mahusiano na kijana mmoja ambaye tumefahamiana naw n kama 4 month,yeye ni accountancy wa benk so most of de tym ni yupo bize!
Mwanzo wa mahusiano yetu alikuwa anajitahd sana even kuntext ile morng sana na jion pia twaongea bt hv sasa amekuwa too much bize even kuongea ni kwa sku mara moja najiuliza kama kweli ananipenda lkn sipati jibu nikiwa nae anaonyesha kunipenda na tunaenjoy sana tukiwa pamoja anafuraha sana lakini tukiachana hapo mhm of coz sy
mtu wa kupnda chatng ukimtext anajibu short sana hiyo hali nimeizoea kias lkn sasa nafkiria niachane nae coz namuhitaji sana na ana mda mdogo wa kuwa na mm let say per week ni kama siku moja twaonana!
Sioni raha yyte ya kuwa nae japo i ril love him,kuna siku nikamuomba tutoke for dinner bas tukiwa huko nikajaribu kumweleza vile nakuwa lonly lakini alwayz majibu yake n ubize,mara anachoka ec,
Naombeni ushauri wenu