Nimuachaje D?

Karma is a bitch it will fu,,,,ck u usimuache D
 
Hizo ndo laana za kujitakia mkuu, ukimwacha D ataishia kuhuzunika na kulia moyoni mwake haya hayo mahusiano yako na M yatakuwa ni mbaya tofauti na unavyofikiria, tabia nyingine ni karibu mgeni, stay na D wako
 
Miaka ya 2000 hyo tayari ngoma kama ya soggy dog ila mkuu usiwasahau wahenga walisema usiache mbachao kwa msaala upitao huyo m kama sina imani nae chukua d weka ndani acha ujinga
 
Naomba namba za D tafadhali .. dada yangu amevutiwa na tabia yake"... anataka kumtumia hela ya kusuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…