ndugu mtoa mada kwann huyo bidada yeye anataka ndoa ya vodafasta ama , kama mwanaume kisha mwambia basi asubiri akiwa tayari atamwoa tu , anaonekana ametega mabomu mawili wakati mmoja asa kwani swala la kumwambia mzazi kwamba mchuchu mtarajiwa ishu hazijakaa fresh so ndoa inasogezwa mbele lina ugumu gani "EVery woman has go his man " asa yeye hajiamini cjui , mtaka vyote hukosa vyote
Oh,nilikuwa nadhani ni mm tu kumbe tupo wengi. aisee utakuwa umetusaidiasana my dia ukiibadili.
leo niko na mishe zangu, nashangaa bi mdada huyo
Ni wifi ambaye pia ni rafiki yangu kipenz, kama wiki tatu zilizopita waligombana na kaka yangu ambaye ni mpenz wake, yy akaamua kuachana nae, kwa madai kuwa amaemchoka, ni kweli huyu bi mdada anampenda sana hy my bro na amefanya mengi kwa ajili yake.
kuachana huku kulienda sambamba na kubadilisha namba ya sim, na kujiondoa fb lakini pia na kuanzisha mahusiano mapya na jamaa ambaye alikuwa rafikiye wa kawaida ingawa alikuwa akimtaka siku za nyuma. penz hl jipya likapamba moto so wikend ya wk hyo wakaenda zenj kujipa raha, bi mdada aliporud job j3, rafiki wa mpenzi wake huyu mpya ambaye ni rafikiye pia akamfata kwa ofice na kumwambia kuwa my baby wake ana mawasiliano na x wake( yaan huyo mpenz mpya bado anawasiliana na x gf wake), bi mdada akaamua kumuuliza mwanaume, mwanzon hakukubali ila alipobanwa akakubali kuwa ni kweli kuna tyms huwa anammiss x wake, rafiki yangu wifi huyu kuona hvo, akampiga chini jamaa huyu na kurudiana na my bro ambaye siku zote alikuwa analia akiomba msamaha wa wifi yangu huyu bila kujua wifi alikuwa ameshapata kifaa kipya, so wakarudiana tena.
hii leo wifi huyu anakuja hapa akiwa analia kisa my bro amemwambia hana uwezo wa kuoa kwa sasa na hajui ataweza lini wakat mdada alishatoa taarifa home na jamaa mwenyewe alienda kwa akina mdada mwez wa tano mwaka huu na kudai anataka kuoa mwez wa kumi na mbili mwaka huu
mdada anawaza atawaambia nn wazaz, ananiomba ushaur aachane na bro wangu au afanyaje kwan anaona kama anampotezea muda, wamedate 4 4 years, nimshaurije huyu dada.......................
Ngoja niingie kw PC bidae, hichi kitochi changu naona kinagoma.