Yani hapa ndipo unapoupata na kuuhisi utamu wa JF, watu hawana roho za kupe, wanatoa ushauri/mawazo hadi inaleta amani katika moyo, japo hawakosekani wanaokatisha wenzao tamaa. WanaJF wengi mngekuwa viongozi wa hii nchi, leo tusingekuwa na hali hii mbaya katika nchi yetu. Mbarikiwe wote mliotoa mawazo chanya kwa mwenzetu.