Mpenzi wangu amechanganyikiwa,
anahitaji msaada wangu wa mawazo.
Nimeshindwa kumpa kwa kuwa hata mie nimechanganyikiwa.
Juzi kapata barua ya kufukuzwa kazi.
Kaenda nssf kufuatilia mafao yake, akaambiwa arudi na barua ya mwajiri.
Mwajiri kagoma kumsainia, kasema kwa kuwa alikuwa na mkopo kazini basi mafao yake yanachukuliwa na mwajiri.
Amekuwa akilia tu tangu asubuhi mpaka sasa, kila baada ya dakika tatu ananipigia.
Sina hata maneno mazuri ya kumpa moyo.
Naomba mnisaidie ushauri ili mama watoto apunguze maumivu.
Nampenda sana, akilia yeye na mimi naumia sana rohoni.
Dont remind me of lady boses.....especially kwenye kutoa references....wabaya:A S 39:
ivi kwani wafanyakazi wote wa bank wamekopa?? Hilo swali lako imebidi nicheke!!
Kama mdau hapo juu alivyosema....sheria za kazi haziruhusu mtu kufukuzwa kazi kwa mdomo lazima uandikiwe barua ya kuachishwa kazi. Ishu ya nssf atapa tu wala asiwe na shaka kama mnaweza muoneni mwanasheria awape ushauri zaidi.