NIMSAIDIEJE MKE WANGU (msaada tafadhari)

NIMSAIDIEJE MKE WANGU (msaada tafadhari)

na kwa huyu mwanamke hatokaa anunue hata tofali la sample maana akijikusanya kidogo tu hela zote zinaishia kwa madalali si unajua masharti ya upangaji mpya?

hahaaa one month yote unampatia dalali....
amrudishe kwao akipauka ndo akili itamtulia ku kichwa.....
 
hahaaa one month yote unampatia dalali....
amrudishe kwao akipauka ndo akili itamtulia ku kichwa.....
bado kuhamisha vitu, bado uharibifu hii hasara si angejenga msingi wa choo
kuhama ni kazi jamani...
 
ndio tatizo la wanawake waliopatikania JF,unaoa mwanamke humjui vizuri,hujakaa nae kumsoma tabia zake.pole sana,cha msingi jitahidi ujenge nyumba yako labda atapunguza ukorofi

sie umbea wetu ni wa hum hum JF huyo baba au mama mwenye nyumba tunamsema saa ngapi....?
nahisi ulichanganya babala ya FB ukaandika JF otherwise unless your totally wrong
 
Sina cha kukushauri juu ya mke wa namna hiyo zaidi ya kulikabidhi suala lako kwa Mungu.

Siku utakayohamia kwenye nyumba na ukaona anapatana na mama mwenye nyumba, basi ujue mwisho wako uko karibu, atakuwa amekutana na mchawi mwenzake.
 
Pole kaka kwa yaliyokukuta. Naomba nikushauri kutokana na uzoefu nilionao na aina hiyo ya wanawake. Kaka yangu alipata such a problem halafu yeye alikuwa anaishi Mwananyamala. Huwezi amini ndani ya mwaka wanaweza kuhama nyumba hadi 3!!My brother alkuwa mpole sana na asiye na maneno mengi hata mke hakumuogopa. Kaka aliuamulia mkewe na akawa bonge la dictator yaani alimpeleka vile anataka awe na bila kusahau vichapo vya mara kwa mara pale afanyapo ndivyo sivyo, mbona alinyooka mwenyewe? Huyo dawa yake ndogo sana, fanya kama alivyofanya huyu mwanaume mwenzio
 
Take it from my Father NEVER EVER REASON WITH A WOMAN!!!!!!!! A battle with a woman is a lost battle before fighting! Ukimshinda unamuonea, akikushinda unamuogopa na hukohoi mbele yake! Either way you are doomed!

Swala ni rahisi tu hilo mbona!

1. Mpe onyo kali tena mbele ya wazazi wake, na useme bayana akirudia hata chembe unamrudisha kwao. (Nuhakika atarudia tu kujifanya mtu mzima hatishiwi nyau!)

2. Mkiambiwa muhame mrudishe kwao ake huko hata miezi 6 ukitanabaisha bayana umechoshwa na ukosefu wa nizamu wa mkeo. Ukimfata waambie wote akirudia tena Talaka! coz ushamuacha miezi 6, akili zitakaa fresh.

3.Sababu anakupima na kukujaribu, kitu unamwambia asifanye anafanya na wewe uwe unarudisha majaribu yake pia maksudi! Kama hivo unamuuliza kistarabu nilikwambiaje kuleta kidomodomo? Akijibu jeuri, humpi pesa ya kujinafasi na sababu unamwambia ana kiburi, Humpi mpka anyooke!

Vinginevo atakukalia mpaka kichwani huyo bidada. Chukua Rula umnyooshe!


Well said lara 1

wanawake wengine wana bahati...

Natamani ningemuona kilaza kama huyo...saivi angekuwa ana mguu mmoja wa bandia tayari..

Sipendi kabisa mwanamke mpumbav mimi...atanirudisha nyuma!

 
Last edited by a moderator:
si ujenge mkuu hata room mbili....utaishi maisha ya kipastoralist hadi lini?
na huyo mkeo mrudishe kwao miezi sita akafundwe mweee..
mfupa uliomshinda fisi utauwezea wapi..mwishoni utahamishwa hata nchi kisa mke...na wewe upo tu ....kuwa mume acha uboya..

Hata akijenga sindo atagombana na mtaa wote.mke watu alafu anashindwa kujielewa.huyo atakuwa mpekupeku maana mpaka kuzoea mabinti wakazi kama si umbea nini?ampe vitasa ataacha.
 
wanawake kama hao wapo........,
huku kwetu kuna huyo mama kila siku wanafukuzwa kwenye nyumba kisa maneno
mi nimekuja mtaani nikamsikia maneno yake,sa hivi amehamia hapa nnapoishi keshaniongelea wee
mpaka amechoka sema mi sina time tu tungekuwa tushadundana.

kila siku wanakaa vikao harekebishiki,maana anajifanya anajua in and out ya kila mtu.
endelea tu kumvumilia......,ila siku wakija kumsuta na matarumbeta anaweza kupunguza
lakin kuacha hawezi inakua hulka yao.

Hapo umenena.akisutwa namatarumbeta au magunzi lazima atatulia.
 
"Habari Wakuu"

Tunaishi nyumba ya kupanga, kwa miaka minne tangu tuoane na mke wangu
tumefukuzwa mara mbili, na mpaka sasa bado hali ni tete:

NYUMBA ya1, Ndani ya miezi sita tuliketi zaidi ya mara mbili kuzungumzia tofauti zao
kati ya mke wangu na Ma mwenye nyumba.
Hatimae huyo Mama alisema; Kijana kabla hujaoa tumeishi nawe vizuri ila sasa!
nisionekane kuku vurugia ndoa yako tafuta nyumba uhame. kama tatizo liko kwangu
lita kua limekwisha.
Tuliamua kutafuta nyumba na yeye awe na kazi, tukiamini hata mashoga inaweza
kuchangia migogoro, baada ya kupata nyumba tukahama.

NYUMBA ya2, Tulifungua duka la rejareja, alishindwa si kuuza wala kusimamia maana hata
mdogowake aliingia kuuza na kisha pesa kutia mfukoni mwake.
Niliamua kuacha kazi yangu kwa muda na kukaa mwenyewe. Ndipo nilipo gundua
kumbe hata hapo teari manenomaneno ya shaanza na Ma mwenye nyumba.
Tumeketi zaidi ya mara mbili na hatimae tulifukuzwa.

NYUMBA ya3 Kaanzisha mahusiano na msichana wa kazi wa Ba mwenye nyumba.
Nilimshauri aachane nae hakusikia, baba mwny nyumba nae alituonya kusiana na
ukaribu wao lakini bado unaendelea.
Sasa huyo Binti ni mjamzito na inasemekana kutokana na ukaribu wao, hata mke wangu
amechangia. Mama mwny nyumba kafikia hatua yakumwambia mmewe tuhame.
Tuna mtoto mmoja mwenye miaka mitatu, nakosa amani sababu ya mke tuu.
(Naomba ushauri wenu tafadhari.)

Mkeo mchawi. Im so sory to say so.
 
Uelezeaji wako wa huu mkasa unasema mengi sana juu yako.

Afu mkeo kawa 'tetesi'? Huna hata hakika?
 
Back
Top Bottom